Piga ua galagaza, hata bure siwezi kulala na binti wa uswahilini

Piga ua galagaza, hata bure siwezi kulala na binti wa uswahilini

Kwa hiyo bora wa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea kipaumbele chako ni kipi
1. Kama Ni kuchakata na mizagamuano
-hao wa uswazi ndo Safi maana Kama ni ishu za usafi zinarekebishika, Cha muhimu mashine imwage wadhungu

2. Kama Ni showoffs na longterm
-hao civilized watakufaa maana hawatakupasua kichwa Sana kuwafatilia Kwny vigodoro na upuuz mwngn wa uswazi
 
Haya haya habarini, kwa Dar nimeapa kwa nafsi yangu kuwa sitolala na mwanamke wa uswahilini hata akinipa bure. Never hata awe na sura nzuri na umbo kiasi gani, japokuwa ni wachache ndo wana sifa hizo. Kwanza wengi wachafu, much know, uncivilized n.k ila suala kubwa ni kuwa tu sitokaa nilale na mwanamke wa uswazi.

Temeke, Buguruni, Mwananyamala, Mbagala, Manzese n.k mwanamke kutoka mitaa hii hata namba yake sihitaji.
Maeneo hayo mengi yana harufu harufu mno hali inayosababisha na hao wasichana kuwa na hivyo viharufu harufu pia pamoja na sababu zingine nyingi.

Mwajuma, Fatu,mwanahamisi,ashura,hadija,mwanaisha,mwanabibi,fadhila,zai wanipitie mbali kwa jina la mungu.
Mkuu mbona umetaja majina ya Dini moja tu una maanisha Dini moja ndiyo wanaishi Uswahili?
 
Pamoja na yote hayo,mademu wa uswazi wanajua kutromb..na,yaani hao pisi kal wenu hawagusi hata robo,na maumbo wanayo,style sasa hapo ndo geneva!!tena kwa hayo majina ni gridi ya taifa!!hivi kuna papuchi haina harufu,au mimi pua yangu hainusagi au imekufa!?
 
Ushamba unakusumbua..ukiwa kama class ya chini utafuatwa na hao ndala ndefu automatically ,ukiwa ni matawi ya juu utapata wa juu .
So usiforce uwezo wako mdogo hao wa uswazi ndo saizi yako.
 
FaizaFoxy aipitie hiyo orodha yako ya majina. Yaani mimiamadiwenani hawataki kina MWAJUMA, Fartu, Hadija etc
Jinsi akina Mwajuma, Fatuma na Ashura wanavyokuja kujibu mashambulizi
images (12).jpeg
 
Haya haya habarini, kwa Dar nimeapa kwa nafsi yangu kuwa sitolala na mwanamke wa uswahilini hata akinipa bure. Never hata awe na sura nzuri na umbo kiasi gani, japokuwa ni wachache ndo wana sifa hizo. Kwanza wengi wachafu, much know, uncivilized n.k ila suala kubwa ni kuwa tu sitokaa nilale na mwanamke wa uswazi.

Temeke, Buguruni, Mwananyamala, Mbagala, Manzese n.k mwanamke kutoka mitaa hii hata namba yake sihitaji.
Maeneo hayo mengi yana harufu harufu mno hali inayosababisha na hao wasichana kuwa na hivyo viharufu harufu pia pamoja na sababu zingine nyingi.

Mwajuma, Fatu,mwanahamisi,ashura,hadija,mwanaisha,mwanabibi,fadhila,zai wanipitie mbali kwa jina la mungu.
Wana mauno hao afu wanajua kuifinyia[emoji39]
 
Back
Top Bottom