Piga ua galagaza, hata bure siwezi kulala na binti wa uswahilini

mtoa mada unajifagilia tu ili uonekane unaringa kinyamwezi.

kiASILI, kati ya mwanaume na mwanamke, ambaye hana kinyaa cha kufanya mapenzi na mtu wa tabaka lolote tofauti na yeye ni mwanaume. mwanaume hata awe na hela vipi, anafanya mapenzi na mwanamke yeyote hata kilema au chizi. tofauti na mwanamke, mwanamke ana kinyaa cha kufanya mapenzi na tabaka lolote. mwanamke mwenye hela hawezi fanya mapenzi na chizi wala kilema, atatafuta mwenye hela mwenzie.

kwahiyo mtoa mada jifurahishe tu kwa kujisifia.

wanaume hatuna kinyaa cha kufanya mapenzi na wanawake tabaka lolote lile.
 
Ni busara ungejiongelea peke yako. Mimi ndiyo nipo hivyo sasa, we' kama ni zoa zoa hiyo ni kimpango wako.
 
Haya haya habarini, kwa Dar nimeapa kwa nafsi yangu kuwa sitolala na mwanamke wa uswahilini hata akinipa bure. Never hata awe na sura nzuri na umbo kiasi gani, japokuwa ni wachache ndo wana sifa hizo. Kwanza wengi wachafu, much know, uncivilized n.k ila suala kubwa ni kuwa tu sitokaa nilale na mwanamke wa uswazi.

Temeke, Buguruni, Mwananyamala, Mbagala, Manzese n.k mwanamke kutoka mitaa hii hata namba yake sihitaji.
Maeneo hayo mengi yana harufu harufu mno hali inayosababisha na hao wasichana kuwa na hivyo viharufu harufu pia pamoja na sababu zingine nyingi.

Mwajuma, Fatu,mwanahamisi,ashura,hadija,mwanaisha,mwanabibi,fadhila,zai wanipitie mbali kwa jina la mungu.
Kwanza kijana wewe unakaa wapi maana huko ndio wanapoishi Mama zako na Shangazi zako
 
Hivi gono limerudi tena kwa wingi? Nakumbuka miaka ya nyuma hakuna mwanaume rijali ambaye alikuwa hajaugua gono. Infact vijana wakikaa sehemu kupiga story za wanawake na mmoja aseme hajaugua gono alikuwa anaokekana kama fala fulani. cc Mshana Jr Kuugua gono ilikuwa kama certificate ya uanaume uliokamilika.
Limerudi kwa kasi kuwa makini
 
Haya haya habarini, kwa Dar nimeapa kwa nafsi yangu kuwa sitolala na mwanamke wa uswahilini hata akinipa bure. Never hata awe na sura nzuri na umbo kiasi gani, japokuwa ni wachache ndo wana sifa hizo. Kwanza wengi wachafu, much know, uncivilized n.k ila suala kubwa ni kuwa tu sitokaa nilale na mwanamke wa uswazi.

Temeke, Buguruni, Mwananyamala, Mbagala, Manzese n.k mwanamke kutoka mitaa hii hata namba yake sihitaji.
Maeneo hayo mengi yana harufu harufu mno hali inayosababisha na hao wasichana kuwa na hivyo viharufu harufu pia pamoja na sababu zingine nyingi.

Mwajuma, Fatu,mwanahamisi,ashura,hadija,mwanaisha,mwanabibi,fadhila,zai wanipitie mbali kwa jina la mungu.
Hahahaha ngoja waje wavaa kobasi maana si kwa majina hayo.
 
pole kwa yaliokukuta fanya yafutayo
1.VAA KONDOM
2.OA
3.TAFUTA HELA
4.HAMA MAENEO ULIYOYATAJA
 
Haya haya habarini, kwa Dar nimeapa kwa nafsi yangu kuwa sitolala na mwanamke wa uswahilini hata akinipa bure. Never hata awe na sura nzuri na umbo kiasi gani, japokuwa ni wachache ndo wana sifa hizo. Kwanza wengi wachafu, much know, uncivilized n.k ila suala kubwa ni kuwa tu sitokaa nilale na mwanamke wa uswazi.

Temeke, Buguruni, Mwananyamala, Mbagala, Manzese n.k mwanamke kutoka mitaa hii hata namba yake sihitaji.
Maeneo hayo mengi yana harufu harufu mno hali inayosababisha na hao wasichana kuwa na hivyo viharufu harufu pia pamoja na sababu zingine nyingi.

Mwajuma, Fatu,mwanahamisi,ashura,hadija,mwanaisha,mwanabibi,fadhila,zai wanipitie mbali kwa jina la mungu.
Pumbavu sana ww kwa kitu gani ulichokua nacho zaidi ya govi
 
Haya haya habarini, kwa Dar nimeapa kwa nafsi yangu kuwa sitolala na mwanamke wa uswahilini hata akinipa bure. Never hata awe na sura nzuri na umbo kiasi gani, japokuwa ni wachache ndo wana sifa hizo. Kwanza wengi wachafu, much know, uncivilized n.k ila suala kubwa ni kuwa tu sitokaa nilale na mwanamke wa uswazi.
Domo zege atasema nini?? kwani weye Mzungu?....kila anaye ishi uzunguni km Masaki asili yao ni uswahilini tuuu! Bakhresa leo anaishi uzunguni lkn alianzia maisha uswahilini! akiwa fundi viatu pyuu!

Nyerere alifia Msasani lkn alianzia uswahilini maisha! tena paleee Magomeni na familia yake! wewe naniiiiiiiiiiiiii!!...Uswahilini Hoyeeeee! nikija huko kituo cha kwanza Mbagalla! mashenzini!

nsito sahau uwanja wa fisi! Manzese, Mabibo farasi jamani mweee! kiti moto ya huko tamuuu sana!...kipawa kwa Mangii! Kwa azizi ally bondeni jamani! VIdem uswahilini raha sana! niseme nini mie!
 
Hongera
 
Back
Top Bottom