Pigo jingine kubwa kwa Wairan wampoteza Kamanda wao mkubwa huko 'Syria Drone' yatumika

Ok Ok.....tunaongea jinsi ya Iran kupata pigo...Hivi sisi tuna technologia gani?
 
Kisasi chenyewe ndio kama kile cha kuua mamia ya raia wasio na hatia kwenye ndege!?
kile ambacho iran iligeuza magofu zile kambi mbili huko iraq kitu ambacho usa mwenyewe alisita kulipiza kisasi kama alivyosema ha ha ha ha ha ha
 
adui mkubwa wa muislamu ni muislamu mwenzake tu hakuna uchawi....wengi wa hawa waajemi wapo cool na wakarimu pia sema huyu ayatollah huyu ndo kikwazo kikuu......wenye akili na free thinking mind ndo wataelewa kama washafuatilia siasa za Irani toka miaka hiyo
 

Ayatollah sio Mpersia kiasili, Baba yake ni muarabu wa Iraq na Mama yake ana asili ya Kihindi..., Ayatollah anaiharibu sana Iran na religious fanatics zake.
 
Ok Ok.....tunaongea jinsi ya Iran kupata pigo...Hivi sisi tuna technologia gani?
Ni kama vile unamaanisha mtu ambaye hana nyumba asiongelee nyumba ya mtu mwingine au hata kutamani tu na yeye kuwa na nyumba kali kama ile au zaidi ya ile. So, tungojee mpaka tufanane na Iran ndio tuwaongelee?
 
Walioaandika hii taarifa wamethibitisha si umeona umewekewa vyanzo na mtoa mada??
Kama huna uhakika vyanzo vinakuchanganya,huwa tunasubiri msiba na kawaida hawachelewagi kuzika,lazima maiti akasaliwe ndo aende kuzikwa,hawafichagi mazishi..
 
Achana na propaganda za Magharibi. Jiulize wewe kama Mtanzania Iran inakuathiri vipi katika ustawi na maendeleo yako na nchi yako.

Hao wanaogopa siku Irani ikiwa super power kama wao hawawezi kuitisha kama wanavyotutisha nchi maskini.

Ila muda sio mrefu watampigisha magoti Iran.
 
Israel wanaleta fujo zote hizi ili kujaribu kumframe Biden. Wanataka Iran iireact halafu Biden arithi mgogoro na hivyo kumfunga mikono asilirudishe lile deal la nuclear!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…