Pigo jingine kubwa kwa Wairan wampoteza Kamanda wao mkubwa huko 'Syria Drone' yatumika

Naona tangu US aoneshe inawezekana kuwaondoa hawa jamaa mmoja baada ya mwingine baada ya kumuondoa Qassim Souleman kule Iraq naona wengine wameiga (inaweza ikawa Israel, US mwenyewe tena au hata wale ambao hawaivi nao yaani waSunni. Kabla maumivu ya Fakhrizadeh hayajapoa , watu wameondoa Shahdan.

Mkuu kwani Qassim alipo Uwawa kule Iraq unajuwa kilicho fuata - makambi ya jeshi LA Merikani huko Iraq zilishambuliwa na missiles za Wairan, habari za kuaminika zinasema karibu wanajeshi 240 wa USA walipoteza maisha licha ya kujichimbia kwenye reinforced bunkers kabla ya mashambulizi - USA hili huwa hawalisemi watakwambia kwamba wanajeshi wao walio pata madhala walikimbizwa kwenda kutibiwa Ujerumani na USA lakini hakuna hata mwanajeshi mmoja aliye poteza maisha kwenye shambulio LA makombora ya Iran.

Bottom line is: Ni wazi Iran ikitaka kulipiza kisasi uwezo huo wanao sana - cha muhimu hapa ni Iran kufanya upelelezi wa kina ili kubaini wanao husika na operations hizi ni akina nani ndio wawachukulie hatua kali at opportune time - 'am sure culprit will pay a very high price, Iran si taifa la kuchukulia kimzaa mzaa hata kidogo.
Israel wanaleta fujo zote hizi ili kujaribu kumframe Biden. Wanataka Iran iireact halafu Biden arithi mgogoro na hivyo kumfunga mikono asilirudishe lile deal la nuclear!

Haswaa, huo ndio mpango mzima wa majahili hawa: Trump/Pompeo na Natenyahau wanataka utawala wa Biden upate wakati mgumu kumaliza sintofahamu baina ya Iran na Mataifa ya Ulaya na Amerika - hawataki Biden afufue tena mkataba wa makubaliano ulio tiwa sahihi na Obama na Viongozi wa mataifa ya Ulaya ili kumaliza mgogoro wa masuala ya nuklia nchini Iran - Israel ilipinga sana makubaliano hayo ndio maana Trump alipo shika madaraka, Natenyahau alifunga safari kwenda White House akiwa na lengo la kuwarubuni Trump na Pompeo ili wafutilie mbali makubaliano ya Obama na EU kuhusu Iran. Kuuwawa kwa mwana sayansi wa Iran lengo lao ni ku-sabotage utawala wa Biden linapo kuja suala la kutaka ku-normalize uhusiano baina ya USA na washirika wake kuhusu Iran.
 
Ni kama vile unamaanisha mtu ambaye hana nyumba asiongelee nyumba ya mtu mwingine au hata kutamani tu na yeye kuwa na nyumba kali kama ile au zaidi ya ile. So, tungojee mpaka tufanane na Iran ndio tuwaongelee?

Unaruhusiwa kuongea ya mwenzako. Lakini usiifanye kuwa kazi au mfumo wako wa maisha.
 
Kamanda kalambishwa mchanga huko Tehran wewe endelea kutingisha makalio hapo nyuma ya keyboard
Ninapo sema ni habari bandia nimesha fanya utafiti na kudhibitisha hilo.
 
Hizi ni habar mbaya sana kwa wavaa madira na makobaz... Very nice
 
Mkuu kwani Qassim alipo Uwawa kule Iraq unajuwa kilicho fuata - makambi ya jeshi LA Merikani huko Iraq zilishambuliwa na missiles za Wairan, habari za kuaminika zinasema karibu wanajeshi 240 wa USA walipoteza maisha licha ya kujichimbia kwenye reinforced bunkers kabla ya mashambulizi - USA hili huwa hawalisemi watakwambia kwamba wanajeshi wao walio pata madhala walikimbizwa kwenda kutibiwa Ujerumani na USA lakini hakuna hata mwanajeshi mmoja aliye poteza maisha kwenye shambulio LA makombora ya Iran.

Bottom line is: Ni wazi Iran ikitaka kulipiza kisasi uwezo huo wanao sana - cha muhimu hapa ni Iran kufanya upelelezi wa kina ili kubaini wanao husika na operations hizi ni akina nani ndio wawachukulie hatua kali at opportune time - 'am sure culprit will pay a very high price, Iran si taifa la kuchukulia kimzaa mzaa hata kidogo.

Haswaa, huo ndio mpango mzima wa majahili hawa: Trump/Pompeo na Natenyahau wanataka utawala wa Biden upate wakati mgumu kumaliza sintofahamu baina ya Iran na Mataifa ya Ulaya na Amerika - hawataki Biden afufue tena mkataba wa makubaliano ulio tiwa sahihi na Obama na Viongozi wa mataifa ya Ulaya ili kumaliza mgogoro wa masuala ya nuklia nchini Iran - Israel ilipinga sana makubaliano hayo ndio maana Trump alipo shika madaraka, Natenyahau alifunga safari kwenda White House akiwa na lengo la kuwarubuni Trump na Pompeo ili wafutilie mbali makubaliano ya Obama na EU kuhusu Iran. Kuuwawa kwa mwana sayansi wa Iran lengo lao ni ku-sabotage utawala wa Biden linapo kuja suala la kutaka ku-normalize uhusiano baina ya USA na washirika wake kuhusu Iran.
Lete chanzo cha habar yako kuwa wanajeshi 250 wa usa waliuliwa no link utakuwa umetunga mkuu kubalance story
 
Back
Top Bottom