State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Hii ni habari mbaya sana kwa Pro -USA.
**************** *******************
Wanasayansi kutoka nchi hizo mbili wamesuka algorithm mpya kwa kutumia teknolojia ijulikanayo kama "reverse engineering" na kuweza kuboresha kadi kadi za video game .
Algorithm hiyo mpya inaruhusu kadi za GPU hizo sio tu kuweza kutumika katika video games, lakini pia hata kuweza kufanya mahesabu makubwa ya kisayansi kwa kutumia kompyuta.
Uvumbuzi huu ulifikiawa kwa ushirikiano wa wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Shenzhen MSU-BIT, kilichoundwa na Chuo Kikuu cha Lomonosov Moscow State na Taasisi ya Teknolojia ya Beijing.
Hii inawaruhusu Urusi na China kupunguza utegemeo wao kwenye GPU za NVIDIA, na hivyo kudhoofisha athari za vikwazo vya Marekani.
Pia, Urusi na China hazitahitaji kununua GPU nyingi za NVIDIA, jambo ambalo kwa hakika tiyari limesha sababisha kuanguka kwa bei za hisa za NVIDIA katika masoko ya hisa duniani, anasema Rais wa shirika la Russoft, Valentin Makarov.
Makarov anaamini kuwa utafiti unaoendelea unajumuisha algorithm mpya za kujifunza kwa mashine na GPU ya kizazi kijacho inayotengenezwa huko Urusi.
Mafanikio haya yanaonyesha ustadi wa kiteknolojia wa Urusi, lakini pia yanatoa nafasi ya taifa hilo kuweza kuweza kushirikiana na Uchina na uwezekano wa ushirikiano wa baadaye na taifa India.
Chanzo: South China Morning Post na Sputnik