Pigo kubwa kwa Kenya laja kutokea Tanzania

The bigger the crowd, the worst the reputation. Si unajua pia Turkey ni failed State na tupo nao hapa kwa hapa...onyesha mimi Turkey na Kenya kwa hii ramani
View attachment 736011
Kichwa yako ya chini, usitake kusingizia nchi za watu ili wawe katika kundi lenu, failed states are 1)Kenya, 2)Somalia, 3)Yemen, 4) Afghanstan, 5)DRC, 6)South Sudan, 7)Syria.
Kenya ranked as 'failed state'
 
Sometimes I wonder the level of intellectuals of some of our members in this group, I hope they are not the future analyst of our economies.
 

Sasa mbona mnajikanganya, mara 'Kenya kupata pigo kubwa' mara 'Kenyan consumer kunufaika', nyie bana Kenya inawatesa sana, na mtaendelea vivyo hivyo mpaka mpokeze vizazi vya kesho huo uwoga wenu kwa Kenya.

Halafu huyo unaniambia Mkikuyu Timamu nilishamuweka kwenye ignore list yangu ya Jamii Forums, hivyo huwa sioni chochote anaandika maana nikishakuona troll, moja kwa moja natumia hiyo button ya ignore list. Huyo ni mtu mwenye matatizo ya kiaina, ambaye uraia wake sijui wa wapi maana kama mpinzani wa Kenya, lazima angekua na uzalendo wa kiaina hata kwa mambo yasiyohusu siasa, nilimshangaa sana ile siku aliponda taarifa za kijana Mkenya kutengeneza app, hapo ndio nilimpiga button ya ignore kama trolls wengine.

Wapinzani wa uongozi na serikali ya Kenya tumekua nao humu, wao huponda au kukosoa taarifa zozote zinazosifia serikali ambapo ni sawa na inapaswa hivyo, lakini hata hivyo utakuta wanashabikia na kushangilia taarifa zisizohusu serikali au siasa, kwa mfano utawakuta wakisifia ushindi wa Wakenya kwenye riadha na kadhalika, lakini ukiona mtu anajiita Mkenya anaponda vyote na kila kitu, huyo ni wa kutupa kule kwenye ignore list, hivyo hata ajibu hoja zangu au atukane vipi huwa hazionekani kwangu.
 
Sometimes Ni vyema kuudanganya moyo wako hata Kama unajua kuwa uu mgonjwa ila unajifariji na kuudanganya moyo wako! Naomba majibu ya haya yafuatayo:
1. Je! Ni Tanzania pekee inayolima Mahindi katika EAC, SADCC, na Great Lakes Region?
2. Tangu katazo la Mahindi kwenda Kenya, inamaana Wakenya hawajawahi kutumia tena Mahindi Kama chakula?
3. Jibu lako kwenye 2 hapo juu Kama Ni HAPANA jiulize walitoa wapi Mahindi, Kama Ni NDIYO jiulize Mbadala wa Mahindi umekuwa Nini!
4. Target ya hizi National Millings za NSSF Ni kuzalisha kwa Mahitaji ya Nani?

Kenya wananunua Mahindi kutoka Zambia kwa Bei nafuu Sana, hivyohivyo pia kwa Malawi, na Situation ya Ukame sii permanent kwa Kenya, Hali ikitengemaa, viwanda vyao Bado vitakuwepo! It was better kufanya analysis ya kutosha kuhusu Soko letu la Mahindi badala ya Kuwaangalia Wakenya Kama maadui katika Biashara hiyo.
Wanaoathirika na hizi policies Mara zote Huwa Wakulima, hasa Hawa wa jembe la mkono, Sasa tunawaumiza Wakenya pekee au na Wakulima wetu pia?
Naunga Mkono jitihada za kufufua na kuanzisha viwanda nchini. Lakni lazima tuwe very strategic kwenye Biashara badala ya kuwa too Mechanical!
 
Kwangu muhimu ni kwamba ninyi ni failed state, wenzenu walioko huko mnawajua ninyi, sisi sio kazi yetu kujua watu ambao hatuna mahusiano nao.
Kenya ranked as 'failed state'
Kwangu muhimu ni kujua nyinyi ni maskini hata hapa Africa mnaturudisha nyuma kiuchumi. Umeshindwa kutekeleza nilichokuagiza...where is the list of failed countries showing Kenya ipo hapo? ukipata nitag.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mkikuyu akili punguani,vile ninavyomuita si Mkenya,bali ni mtanzania ambaye ako na inferiority complex to his medulla oblongata,hajijui na kwa sababu ya kuchanganyikiwa na kupewa kiwewe na The Mighty Kenya,yuajiita hivo to appease his troubled mind.He has a sinus problem in the head.
 
Production costs inakuaje chini kuliko Kenya? Tuchukulie mfano wa Tanbond na Blueband, ipi Ni cheap hapa Tz? Why?
 
Tanzania mpya na Matokeo Chanya+... VIVA Tanzania.
 
I am not concerned with your self importance, Dont give a shit whether you ignore me or whatever, I have enough Fans from both Tz and Kenya right here in JF.
But be sure of one thing, I will always take pleasure in exposing your stupidity and silly posts. Wengi JF wanajua wewe ni akili za kuku, wanakuvumilia tu angalau waweze kukupea maarifa ujikomboe kutoka akili zako finyu
 
Mkikuyu akili punguani yu are a moron who needs to be DELETED! and when i say that i hope you understand the meaning......
 
Pole baba,mimi sina ushabiki wa kijinga, Kama huna hoja nyamaza. My nationality is non of your business, challange me on matters economics not nationality or tribalism
 
Reactions: Oii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…