Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
The bigger the crowd, the worst the reputation. Si unajua pia Turkey ni failed State na tupo nao hapa kwa hapa...onyesha mimi Turkey na Kenya kwa hii ramani
View attachment 736011
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The bigger the crowd, the worst the reputation. Si unajua pia Turkey ni failed State na tupo nao hapa kwa hapa...onyesha mimi Turkey na Kenya kwa hii ramani
View attachment 736011
Kichwa yako ya chini, usitake kusingizia nchi za watu ili wawe katika kundi lenu, failed states are 1)Kenya, 2)Somalia, 3)Yemen, 4) Afghanstan, 5)DRC, 6)South Sudan, 7)Syria.The bigger the crowd, the worst the reputation. Si unajua pia Turkey ni failed State na tupo nao hapa kwa hapa...onyesha mimi Turkey na Kenya kwa hii ramani
View attachment 736011
A great leader He was and still is.
Wrong Uhuru and his wife will pay.I
dont care bora sote tutailipa na unga sio bure.
From failed state perspectiveA great leader He was and still is.
Sasa weka hiyo list inayoorodheshsa hizo nchi ambazo umetaja...ukiweka unitag. meanwhile ramani ya LDC 2018Kichwa yako ya chini, usitake kusingizia nchi za watu ili wawe katika kundi lenu, failed states are 1)Kenya, 2)Somalia, 3)Yemen, 4) Afghanstan, 5)DRC, 6)South Sudan, 7)Syria.
Kenya ranked as 'failed state'
Zimbabwe is middle income like kenya, Yaani kenya ipo ligi moja na MugabeA great leader He was and still is.
Kwangu muhimu ni kwamba ninyi ni failed state, wenzenu walioko huko mnawajua ninyi, sisi sio kazi yetu kujua watu ambao hatuna mahusiano nao.Sasa weka hiyo list inayoorodheshsa hizo nchi ambazo umetaja...ukiweka unitag. meanwhile ramani ya LDC 2018
View attachment 736014
Kwa kua cost of production itakua ndogo hapa Tz tegemea Kenyan consumer kunafaika. 1Kg inaeza ikawa less than 1$, nazani ata wewe utafurahia hiyo hali. Sasa hivi unga Tz 1Kg ya unga ni 0.5$, Uwe una msoma Mwenzako Mkikuyu akili Timamu vizuri ana chambua vitu bila ushabiki. Right now you guys should put on your dancing shoes and celebrate this move.
Wrong Uhuru and his wife will pay.
Political revolution comming soon dont blink
Sometimes Ni vyema kuudanganya moyo wako hata Kama unajua kuwa uu mgonjwa ila unajifariji na kuudanganya moyo wako! Naomba majibu ya haya yafuatayo:Kwanzaa ikumbukwe zaidi ya 60% ya nafaka inayoliwa Kenya inatoka Tanzania, baada ya serikali kuweka marufuku ya kusafirisha maindi ghafi kutoka Tanzania mwaka Jana.
Mifuko ya hifadhi ya jamii ilitakiwa kuwekeza pesa kwenye viwanda badala ya real-estate business hivyo nssf na ppf waliingia ubia kufufua na kuanzisha viwanda vikubwa vinne vya kusaga mahindi na kukoboa mchele na kuupack
Viwanda hivyo pamoja na vingine zaidi ya 25 vikiwemo vya sukari, viatu, pharmaceuticals, nyama, nguo etc vinajengwa Tanzania nzima.
Viwanda Hivi vya nafaka vitakua Arusha, Mwanza, Iringa na Dodoma ambapo vitazuia kabisa maindi kwenda Kenya na nchi nyingine badala yake maindi yote Tanzania yatauzwa kwenye hii Mifuko ya jamii na wao wataprocess na kuuza unga tu au mchele ambao upo packed up.
Maana yake ni kwamba Viwanda vya nafaka vya Kenya vitakosa malighafi na kupelekea kupata pigo kubwa hata wwkinunua maindi kwingine gharama za usafiri zutakua kubwa hivyo kufanya unga wa Tanzania utakaofurika kwenye mashelves ya supermarkets za Kenya kua cheap
Kiwanda Cha National Milling Kilichopo Kizota Dodoma Kinafufuliwa Na NSSF Kupitia Bodi Ya Nafaka. Mashine Tayari Zimepanda Meli Kuja Tanzania. @nssftz Vitendo Zaidi Kuliko Maneno [HASHTAG]#TanzaniaYaViwanda[/HASHTAG]
View attachment 735937 View attachment 735938 View attachment 735939 View attachment 735940
Kwangu muhimu ni kujua nyinyi ni maskini hata hapa Africa mnaturudisha nyuma kiuchumi. Umeshindwa kutekeleza nilichokuagiza...where is the list of failed countries showing Kenya ipo hapo? ukipata nitag.😀😀😀Kwangu muhimu ni kwamba ninyi ni failed state, wenzenu walioko huko mnawajua ninyi, sisi sio kazi yetu kujua watu ambao hatuna mahusiano nao.
Kenya ranked as 'failed state'
Kenya ranked as 'failed state'Kwangu muhimu ni kujua nyinyi ni maskini hata hapa Africa mnaturudisha nyuma kiuchumi. Umeshindwa kutekeleza nilichokuagiza...where is the list of failed countries showing Kenya ipo hapo? ukipata nitag.😀😀😀
View attachment 736022
Production costs inakuaje chini kuliko Kenya? Tuchukulie mfano wa Tanbond na Blueband, ipi Ni cheap hapa Tz? Why?Kwa kua cost of production itakua ndogo hapa Tz tegemea Kenyan consumer kunafaika. 1Kg inaeza ikawa less than 1$, nazani ata wewe utafurahia hiyo hali. Sasa hivi unga Tz 1Kg ya unga ni 0.5$, Uwe una msoma Mwenzako Mkikuyu akili Timamu vizuri ana chambua vitu bila ushabiki. Right now you guys should put on your dancing shoes and celebrate this move.
I am not concerned with your self importance, Dont give a shit whether you ignore me or whatever, I have enough Fans from both Tz and Kenya right here in JF.Sasa mbona mnajikanganya, mara 'Kenya kupata pigo kubwa' mara 'Kenyan consumer kunufaika', nyie bana Kenya inawatesa sana, na mtaendelea vivyo hivyo mpaka mpokeze vizazi vya kesho huo uwoga wenu kwa Kenya.
Halafu huyo unaniambia Mkikuyu Timamu nilishamuweka kwenye ignore list yangu ya Jamii Forums, hivyo huwa sioni chochote anaandika maana nikishakuona troll, moja kwa moja natumia hiyo button ya ignore list. Huyo ni mtu mwenye matatizo ya kiaina, ambaye uraia wake sijui wa wapi maana kama mpinzani wa Kenya, lazima angekua na uzalendo wa kiaina hata kwa mambo yasiyohusu siasa, nilimshangaa sana ile siku aliponda taarifa za kijana Mkenya kutengeneza app, hapo ndio nilimpiga button ya ignore kama trolls wengine.
Wapinzani wa uongozi na serikali ya Kenya tumekua nao humu, wao huponda au kukosoa taarifa zozote zinazosifia serikali ambapo ni sawa na inapaswa hivyo, lakini hata hivyo utakuta wanashabikia na kushangilia taarifa zisizohusu serikali au siasa, kwa mfano utawakuta wakisifia ushindi wa Wakenya kwenye riadha na kadhalika, lakini ukiona mtu anajiita Mkenya anaponda vyote na kila kitu, huyo ni wa kutupa kule kwenye ignore list, hivyo hata ajibu hoja zangu au atukane vipi huwa hazionekani kwangu.
Pole baba,mimi sina ushabiki wa kijinga, Kama huna hoja nyamaza. My nationality is non of your business, challange me on matters economics not nationality or tribalismMkikuyu akili punguani,vile ninavyomuita si Mkenya,bali ni mtanzania ambaye ako na inferiority complex to his medulla oblongata,hajijui na kwa sababu ya kuchanganyikiwa na kupewa kiwewe na The Mighty Kenya,yuajiita hivo to appease his troubled mind.He has a sinus problem in the head.