Pigo kubwa kwa Kenya laja kutokea Tanzania

Tutanunua Zambia,Malawi na MexicoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›
sawa.... ila gharama za kusafirisha lazima zita double.

kumbukeni,mzigo unaotoka zambia au malawi lazima kwanza upitie tz ili tuhakiki. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Port of Maputo...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kwanini mnafikiria kununua mahindi wakati mliwekeza pesa nyingi Galana irrigation project?, au kama kawaida yenu ya poor planning huo mradi umewashinda na pesa wamekula Uhuru relathieves?
 
sawa.... ila gharama za kusafirisha lazima zita double.

kumbukeni,mzigo unaotoka zambia au malawi lazima kwanza upitie tz ili tuhakiki. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni sawa we aint complaining.
 
Kwanini mnafikiria kununua mahindi wakati mliwekeza pesa nyingi Galana irrigation project?, au kama kawaida yenu ya poor planning huo mradi umewashinda na pesa wamekula Uhuru relathieves?
Kwa sababu sisi ni an Independent Nation and we do whatever we feel like. Ukiumwa sana unaweza ukameza wembe.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Tena sisi SI LDC
 
Wakenya wenzako walimjaribu kumuoji kama kweli ni mkenya akawathibitishia kwa kuongea lugha za kikenya na mambo mengine kuusu Kenya na wewe kama uamini muoji uone kama ni mtz au mkenya

Ukenya sio lugha tu, mimi hapa ninaweza kukushushia Kinyambo na pia Kipare zote lugha za Tanzania....Leo hii ninaweza kuishi ndani ya Tanzania bila yeyote kushtukia uraia wangu maana najua mengi kuhusu Tanzania hata zaidi ya wengi wenu, nimetembelea na kukatiza maeneo mengi ndani ya nchi yenu hiyo, mikoa na wilaya na vitongoji vingi, lakini kwa yote hayo, mimi ni Mkenya tena mzalendo wa nchi yangu kwa kwenda mbele, huniambii kitu na kamwe sitaihama nchi yangu, tutabanana humu humu hadi kieleweke.

Hivyo, Ukenya sio lugha tu, Ukenya sio kuijua Kenya, Ukenya ni zaidi ya hayo, Ukenya ni kuipenda nchi yako na bendera yake, wimbo wa taifa na kuwa tayari kuitetea kwa hali na mali. Wakenya, hata mkiona tunazozana, kila mmoja anaipenda Kenya mpaka ndani ya mifupa. Huyo Raila Odinga pamoja na kwamba ni mpinzani, au hata Kalonzo na wafuasi wao wanaipenda nchi yao mwanzo mwisho na hutokuta wanaponda kwenye mambo yasiyohusiana na siasa.

Sasa huyu mnayemsifia kuwa Mkenya kisa amejiita Mkikuyu timamu na kuongea maneno ya Kikikuyu na kuandika andika mambo ya Kikenya sio sifa tosha za Ukenya. Maana kasoro yake kubwa, anaponda hata mambo ambayo yanakumbatiwa na Wakenya wote, mambo ambayo yanatupa fahari ya kuwa Wakenya. Haiwezekani uponde ushindi wa wanariadha wetu au mafanikio ya vijana wetu kwenye nyanja za teknolojia halafu ujiite Mkenya.

Humu kuna Watanzania ambao hufungua akaunti zenye majina ya Kikenya, kunao ambao huchukia kila kitu cha Kenya, hawa Watanzania huwa nashuku labda jamaa atakua aliambiwa kwamba mamake kabakwa na Mkenya ndio akazaliwa, maana utakuta mtu ana hasira na Kenya na Ukenya kwa kila hatua au kila kitu, hadi mada zisizohusu Kenya lazima atazitafutia jinsi ya kuihusisha Kenya.

Subiri nitakuletea hapa picha ya Raila Odinga akimkumbatia mwanariadha Mkenya baada ya ushindi, itakupa uelewa kwa kina nini maana ya Ukenya.....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeongea porojo kibao ila kusema unaweza kuishi Tanzania bila kukugundulika hilo mkuu jidanganye tu wabongo kwenye kukusanya taarifa wapo vizur na si ajabu uliachiwa kutembea tembea kwetu ni tiketi tosha unazan wenyeji ni maboya .

Ww endelea na kutetea nchi yako hapo sina neno maana ndiyo uzalendo wenyewe .

Ila sleeping giant(Tz) ameanza kuamuka sasa hiv lazima inawauma hii
 
Reactions: Oii
Mimi Mkenya, Tena Mzalendo, Lakini hii kenya ambayo Uhuru na ruto walioitunga wao na kuiita kenya hapo mimi sipo. Kenya hii bandia ya ufisadi, wizi, ubepari na ukabila mimi siwezi kuwa mzalendo.
Angalia Mfano wa JPM, alijua kwamba watanzania wengi walikuwa wamepoteza uzalendo sababu tanzania ilikuwa imebadilika kuwa nchi ya rushwa na wapiga dili. Wengi watanzania kwa kipindi kilicho pita walipata fedheha kuhusishwa na Tz.
Pili, wanariadha wa kenya nawashabikia pia ubunifu wa wakenya ni wa juu sana. Lakini, haya sio mambo ambayo inafanya nchi iwe "Nation".
Hii kenya ya Uhuru na Ruto siijui wala siitambui, hii ni yao wao na kabila zao
 
Hongera sana rais wetu mtukufu JPM, hakika umetoka kwa Mwenye Enzi Mungu mwenyewe!
Remain blessed Mr President!
 
Aslimia kubwa ya Wakenya wanakula Dona akiwemo naibu Rais Ruto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…