Junior Clinton Mr.
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 1,075
- 1,423
Hayo maindi yote mnayoenda kununua huko kama yasipopitia Tz, au tukifunga border mtapata shida sana, bei ya usafiri itakua kubwa na hakuna kitu mtakachokuwa mmefanyaMliogopa hatutanunua mahindi yenu bali tutachukua ya zambi na malawi na kupitishia nchi yenu. Hapo wivu ukawakamata na sasa mnalilia chooni...kwani mlifikiri nyinyi ndio mna uwezo wa kuuza mahindi peke yake? nyinyi ni kama njogoo anayefikiria asipowika hakutakucha. Get that into your tiny brains boy we Nyang'aus dont kiss ass.
Tunayapitishia Maputo, Mozambique na kuyavukisha na Meli hadi Mombasa tena in Bulk sio trucks. Kwa Economics ndio inaitwa economy of scale...the more you transport at once the cheaper the commodity.Hayo maindi yote mnayoenda kununua huko kama yasipopitia Tz, au tukifunga border mtapata shida sana, bei ya usafiri itakua kubwa na hakuna kitu mtakachokuwa mmefanya
Mtoa mada wewe uchumi hauujui hata kidog. Bidhaa inapokuwa processed huwa inapanda beinkaribu mara 20 pia daman and supply curvr kitu kikiwa adimu demand inapanda na demand ikipanda bei pia inapanda vilevile so badala ya kushuka bei itapanda
You are not a Kenyan....Mimi Mkenya, Tena Mzalendo, Lakini hii kenya ambayo Uhuru na ruto walioitunga wao na kuiita kenya hapo mimi sipo. Kenya hii bandia ya ufisadi, wizi, ubepari na ukabila mimi siwezi kuwa mzalendo.
Angalia Mfano wa JPM, alijua kwamba watanzania wengi walikuwa wamepoteza uzalendo sababu tanzania ilikuwa imebadilika kuwa nchi ya rushwa na wapiga dili. Wengi watanzania kwa kipindi kilicho pita walipata fedheha kuhusishwa na Tz.
Pili, wanariadha wa kenya nawashabikia pia ubunifu wa wakenya ni wa juu sana. Lakini, haya sio mambo ambayo inafanya nchi iwe "Nation".
Hii kenya ya Uhuru na Ruto siijui wala siitambui, hii ni yao wao na kabila zao
Kaaazi kweli kweliYou are not a Kenyan....
Tanzania inafanya mambo kwa kukidhi mahitaji na matakwa yake ili kuleta maisha mazur kwa wananchi pia kuipeleka nchi katika uchumi wa kati... Bravo TZ.Teh teh anyway the article has two sides, anyway wa Tz tungefocus kwenye masoko ya nchi zote ziliztotuzunguka na haya mambo ya kukomoana ya mtu mweusi tuwaachie other primitives hapo ndo ambapo tunapokosea, i think hapo ndo tunapo fail kama nchi na hapo ndipo Kenya wanapotuzid kwan wame prove wao ni wazungu wa roho. Hizi roho za kukomoana ni mambo ya kizamani sanaa tuna fail at it.
NSSF ndio walikuambia wanawakomoa Kenya?Teh teh anyway the article has two sides, anyway wa Tz tungefocus kwenye masoko ya nchi zote ziliztotuzunguka na haya mambo ya kukomoana ya mtu mweusi tuwaachie other primitives hapo ndo ambapo tunapokosea, i think hapo ndo tunapo fail kama nchi na hapo ndipo Kenya wanapotuzid kwan wame prove wao ni wazungu wa roho. Hizi roho za kukomoana ni mambo ya kizamani sanaa tuna fail at it.
Thats your problem, respond to issues not to tribe or nationalityYou are not a Kenyan....
Huyu ni Mfipa. Hapana Fanya judgment based on the face value.Mkikuyu -Akili timamu
Huyu jamaa ni Genius na nimemfatilia kwanza , anajua kiswahili fasaha , anajua kiingereza na anajua mambo mengi both Kenya na Tanzania na Dunia kwa ujumla
Kwa Jicho la tatu ,ni extra ordinary person na inawezekana yuko sehemu nyeti sana na amepikwa akaiva na akaiva kwelikweli ,
Good to him ,kawa defeat wakenya wote Wa humu hadi wameanza kumwambia sio Mkenya na ameweza kuwafanya wadhihirishe Tabia zao za UKABILA na kwa hili jamaa nampa tano
Kama wakikuzingua Njoo Tanzania uombe uraia tutakupatia
Safii sana Mkikuyu -Akili timamu
Rudi hapa uongee umbea na wenzakoHuyu ni Mfipa. Hapana Fanya judgment based on the face value.
Mifuko ya hifadhi ya jamii isipowekeza michango ya wanachama watawezaje kulipa pensions za wanachama?Serikali si ilikuwa na sera ya kujitoa katika biashara na kuhakikisha inaweka mazingira mazuri tu ya biashara?
Sasa hii sera imeishia wapi?
Hizo fedha za mifuko ya akiba ya uzeeni zinavyotolewa kutumika kwenye biashara hizi,kuna oversight gani?
Walioweka fedha wenyewe wametoa ruhusa?
Biashara zikipata hasara na fedha kupotea, waliowekafedha kwenye mifuko ya uzeeni wakitaka kustaafu watalipwaje?
How can I asses his /she face wakati humu ni anonymous na avatar yake ni ya Rais Kenyatta au una maanisha Kenyatta ni Mfipa?Huyu ni Mfipa. Hapana Fanya judgment based on the face value.