Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Kwanzaa ikumbukwe zaidi ya 60% ya nafaka inayoliwa Kenya inatoka Tanzania, baada ya serikali kuweka marufuku ya kusafirisha maindi ghafi kutoka Tanzania mwaka Jana.
Mifuko ya hifadhi ya jamii ilitakiwa kuwekeza pesa kwenye viwanda badala ya real-estate business hivyo nssf na ppf waliingia ubia kufufua na kuanzisha viwanda vikubwa vinne vya kusaga mahindi na kukoboa mchele na kuupack
Viwanda hivyo pamoja na vingine zaidi ya 25 vikiwemo vya sukari, viatu, pharmaceuticals, nyama, nguo etc vinajengwa Tanzania nzima.
Viwanda Hivi vya nafaka vitakua Arusha, Mwanza, Iringa na Dodoma ambapo vitazuia kabisa maindi kwenda Kenya na nchi nyingine badala yake maindi yote Tanzania yatauzwa kwenye hii Mifuko ya jamii na wao wataprocess na kuuza unga tu au mchele ambao upo packed up.
Maana yake ni kwamba Viwanda vya nafaka vya Kenya vitakosa malighafi na kupelekea kupata pigo kubwa hata wwkinunua maindi kwingine gharama za usafiri zutakua kubwa hivyo kufanya unga wa Tanzania utakaofurika kwenye mashelves ya supermarkets za Kenya kua cheap
Kiwanda Cha National Milling Kilichopo Kizota Dodoma Kinafufuliwa Na NSSF Kupitia Bodi Ya Nafaka. Mashine Tayari Zimepanda Meli Kuja Tanzania. @nssftz Vitendo Zaidi Kuliko Maneno [HASHTAG]#TanzaniaYaViwanda[/HASHTAG]