Pigo kubwa kwa Kenya laja kutokea Tanzania

Ndio maana mpo maskini miaka yote maana kila kitu mnafanya mkiwaza Kenya, jameni mumezungukwa na nchi nyingi sana, mbona msiziwaze na hizo pia.
Nawaonea huruma siku zote maana itawachukua muda mrefu sana kuifikia Kenya, kainchi ketu kadogo lakini kamewanyima usingizi vizazi hadi vizazi pamoja na kwamba liinchi lenu lina kila kitu.
Kwa kua cost of production itakua ndogo hapa Tz tegemea Kenyan consumer kunafaika. 1Kg inaeza ikawa less than 1$, nazani ata wewe utafurahia hiyo hali. Sasa hivi unga Tz 1Kg ya unga ni 0.5$, Uwe una msoma Mwenzako Mkikuyu akili Timamu vizuri ana chambua vitu bila ushabiki. Right now you guys should put on your dancing shoes and celebrate this move.
 
Unatokwa na povu bure. Unga Safi kutoka Tanzania kwa bei nafuu ni jambo la maana sana kwa kenyan consumer.This is a great win for free trade within EAC.
Next should be cheap cement from Dagote plants in Tanzania. Win-win deals
mbona Dangote tayari is felt.
 
ila viwanda hivi vya kina nssf vitaweza kubeba mahindi yote? Soko la sembe hiyo itakuwaje, ni hatua nzuri sana. Naona kama mahitaji ya sembe yanatoshwa na azam. Ukitilia maanani sembe ni poor food.
Hiyo sembe ya azam ndio naisikia kwako
 
Unatokwa na povu bure. Unga Safi kutoka Tanzania kwa bei nafuu ni jambo la maana sana kwa kenyan consumer.This is a great win for free trade within EAC.
Next should be cheap cement from Dagote plants in Tanzania. Win-win deals

Then you should be pointing this out to the thread initiator Who seem to be blind on simple market dynamics that With a ready unga market in Kenya ,Tz is out to make it big Without breaking sweat!
Kenya will just move to the next willing seller.
 
Ndio maana mpo maskini miaka yote maana kila kitu mnafanya mkiwaza Kenya, jameni mumezungukwa na nchi nyingi sana, mbona msiziwaze na hizo pia.
Nawaonea huruma siku zote maana itawachukua muda mrefu sana kuifikia Kenya, kainchi ketu kadogo lakini kamewanyima usingizi vizazi hadi vizazi pamoja na kwamba liinchi lenu lina kila kitu.
Jambo la busara kwa JPM kufanya mambo wakifikiri soko la kenya, Yeye amegundua kwamba uzalishaji wa bidhaa hapa kenya upo juu sana kwa sababu ya ufisadi na ubepari. Viwanda vya Tz huzalisha bidhaa kwa bei ya chini sana na ni mda tu bidhaa zote EAC ziwe za kutoka Tz. Jambo nzuri, JPM anona mbali, aendelee hivyo hivyo hadi viwanda hapa kenya vifungwe ili mabepari na mafisadi walioiteka kenya wafilisike na wakose tax revenues
 
Ndio maana mpo maskini miaka yote maana kila kitu mnafanya mkiwaza Kenya, jameni mumezungukwa na nchi nyingi sana, mbona msiziwaze na hizo pia.
Nawaonea huruma siku zote maana itawachukua muda mrefu sana kuifikia Kenya, kainchi ketu kadogo lakini kamewanyima usingizi vizazi hadi vizazi pamoja na kwamba liinchi lenu lina kila kitu.
Mbona umepaniki tena? Congo inatafuna chakula cha Tanzania kuliko maelezo pamoja na South Sudan sasa nyinyi mlikua mkichukua mahindi na kuprocess na kupeleka South Sudan, now forget that, not maize from Tanzania.

Juzi kwenye EAC forum huko Uganda president of South Sudan alimuambia JPM his country needs maize flour from Tanzania so badly his country is tired of Kenyan middlemen, now problem solved

JPM assured him even sugar from Tanzania will reach out the demand of the whole South Sudan few months after the completion of the new sugar factory with capacity of 400,000 tones of sugar
 
Uzuri Uhuru aliliona hili mapema ndio maana tulipomuona akienda Mozambique kutaka connection ya Mozambique port na Mombasa hatukushangaa

Tulijua ni maindi ya Malawi na Zambia yanatafutiwa uchochoro baada ya Kuona Tanzania will no longer supply maindi to Kenya anymore saivi ni unga tu
Mliogopa hatutanunua mahindi yenu bali tutachukua ya zambi na malawi na kupitishia nchi yenu. Hapo wivu ukawakamata na sasa mnalilia chooni...kwani mlifikiri nyinyi ndio mna uwezo wa kuuza mahindi peke yake? nyinyi ni kama njogoo anayefikiria asipowika hakutakucha. Get that into your tiny brains boy we Nyang'aus dont kiss ass.
 
Next year as Hunger strikes again, Tz will be selling Flour to kenya at ksh 50 Per 2kg packet. While Maize imported all the way from Sadc and milled by cartel Milling Firms will be ksh 160 before subsidy.
As aways with Free Markets, Price is King, JPM will be making a killing
 
Hiyo theory yako shove it up your arse.😀😀
 
Kwa kua cost of production itakua ndogo hapa Tz tegemea Kenyan consumer kunafaika. 1Kg inaeza ikawa less than 1$, nazani ata wewe utafurahia hiyo hali. Sasa hivi unga Tz 1Kg ya unga ni 0.5$, Uwe una msoma Mwenzako Mkikuyu akili Timamu vizuri ana chambua vitu bila ushabiki. Right now you guys should put on your dancing shoes and celebrate this move.
Huyo ni hamnazo huyo, akili zake sio timamu, amepanic sana kuona Tanzania inakwenda mbele kwa kasi sana, alichobaki nacho ni hasira, chuki na wivu juu ya Tanzania, ila Magufuli ndiyo kiboko yao, anawanyoosha vizuri sana, watatulia tu mwishoni, hakuna kulegeza wala kupunguza kasi.
 
Kwanzaa ikumbukwe zaidi ya 60% ya nafaka inayoliwa Kenya inatoka Tanzania, baada ya serikali kuweka marufuku ya kusafirisha maindi ghafi kutoka Tanzania mwaka Jana.

Mifuko ya hifadhi ya jamii ilitakiwa kuwekeza pesa kwenye viwanda badala ya real-estate business hivyo nssf na ppf waliingia ubia kufufua na kuanzisha viwanda vikubwa vinne vya kusaga mahindi na kukoboa mchele na kuupack

Viwanda hivyo pamoja na vingine zaidi ya 25 vikiwemo vya sukari, viatu, pharmaceuticals, nyama, nguo etc vinajengwa Tanzania nzima.

Viwanda Hivi vya nafaka vitakua Arusha, Mwanza, Iringa na Dodoma ambapo vitazuia kabisa maindi kwenda Kenya na nchi nyingine badala yake maindi yote Tanzania yatauzwa kwenye hii Mifuko ya jamii na wao wataprocess na kuuza unga tu au mchele ambao upo packed up.

Maana yake ni kwamba Viwanda vya nafaka vya Kenya vitakosa malighafi na kupelekea kupata pigo kubwa hata wwkinunua maindi kwingine gharama za usafiri zutakua kubwa hivyo kufanya unga wa Tanzania utakaofurika kwenye mashelves ya supermarkets za Kenya kua cheap

Kiwanda Cha National Milling Kilichopo Kizota Dodoma Kinafufuliwa Na NSSF Kupitia Bodi Ya Nafaka. Mashine Tayari Zimepanda Meli Kuja Tanzania. @nssftz Vitendo Zaidi Kuliko Maneno [HASHTAG]#TanzaniaYaViwanda[/HASHTAG]

View attachment 735937 View attachment 735938 View attachment 735939 View attachment 735940
Mtoa mada wewe uchumi hauujui hata kidog. Bidhaa inapokuwa processed huwa inapanda beinkaribu mara 20 pia daman and supply curvr kitu kikiwa adimu demand inapanda na demand ikipanda bei pia inapanda vilevile so badala ya kushuka bei itapanda
 
wapi evidences buda..usitutole maneno yako ya matakoo
 
duh,kila kitu mnafanya ili mmalize kenya..poleni jirani wachawi na wanafik
 
Mtoa mada wewe uchumi hauujui hata kidog. Bidhaa inapokuwa processed huwa inapanda beinkaribu mara 20 pia daman and supply curvr kitu kikiwa adimu demand inapanda na demand ikipanda bei pia inapanda vilevile so badala ya kushuka bei itapanda
Kaka wewe haupo na wenzako kabisa, jaribu kufuatilia mada kwa undani uweze kuelewa kinachozungumzwa baadae uje kivyengine.
 
Back
Top Bottom