Pigo kubwa kwa Kenya laja kutokea Tanzania

Pigo kubwa kwa Kenya laja kutokea Tanzania

Kenya ranked as 'failed state'
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
bd68b1f4-map-showing-countries-developed-developing-least-develop.jpg
 
Hahaha,my snare has taken this proconsul,now that yuv responded to my post,indeed wewe ni akili punguani.
wapi nimekutaja,vipi yuv just confirmed your low IQ status?
 
Hahaha,my snare has taken this proconsul,now that yuv responded to my post,indeed wewe ni akili punguani.
wapi nimekutaja,vipi yuv just confirmed your low IQ status?
You dont not have a monopoly for trolling and stupidity, Be warned
 
Just shut up you pathetic fool,do u have the same over nonsense that you keep posting here?
Dont you dare threaten me!Dont!
 
Production costs inakuaje chini kuliko Kenya? Tuchukulie mfano wa Tanbond na Blueband, ipi Ni cheap hapa Tz? Why?
Unga Kenya ni bei gani na Tanzania ni bei gani leo?
 
Ndio maana mpo maskini miaka yote maana kila kitu mnafanya mkiwaza Kenya, jameni mumezungukwa na nchi nyingi sana, mbona msiziwaze na hizo pia.
Nawaonea huruma siku zote maana itawachukua muda mrefu sana kuifikia Kenya, kainchi ketu kadogo lakini kamewanyima usingizi vizazi hadi vizazi pamoja na kwamba liinchi lenu lina kila kitu.
Tz haiwezi kijilinganisha na malawi au rwanda au uganda katika huu ukanda wa A. Mashariki, nchi pekee ambayo Tz itajilinganisha/kushindana nayo kiuchumi ni Kenya pekee.
 
Umezongwa na mawazo,low IQ people only post stupid trash you keep posting.You are so pathetic Mkikuyu akili punguani,by the way dont misuse my tribes name for your Tanzanian foolishness
 
Good Move from Tanzania, Kenyan consumers have been suffering due to exploitation by Milling companies. 2kg Flour goes for a whooping $2!
With Tanzanian firms entering the market, their cheaper flour will be a hit among kenyan Consumers
Tutamheshimu "Mkikuyu" (Taz jina lake) mwenye kuikubali kweli kama huyu ndugu!
 
Sasa mbona mnajikanganya, mara 'Kenya kupata pigo kubwa' mara 'Kenyan consumer kunufaika', nyie bana Kenya inawatesa sana, na mtaendelea vivyo hivyo mpaka mpokeze vizazi vya kesho huo uwoga wenu kwa Kenya.

Halafu huyo unaniambia Mkikuyu Timamu nilishamuweka kwenye ignore list yangu ya Jamii Forums, hivyo huwa sioni chochote anaandika maana nikishakuona troll, moja kwa moja natumia hiyo button ya ignore list. Huyo ni mtu mwenye matatizo ya kiaina, ambaye uraia wake sijui wa wapi maana kama mpinzani wa Kenya, lazima angekua na uzalendo wa kiaina hata kwa mambo yasiyohusu siasa, nilimshangaa sana ile siku aliponda taarifa za kijana Mkenya kutengeneza app, hapo ndio nilimpiga button ya ignore kama trolls wengine.

Wapinzani wa uongozi na serikali ya Kenya tumekua nao humu, wao huponda au kukosoa taarifa zozote zinazosifia serikali ambapo ni sawa na inapaswa hivyo, lakini hata hivyo utakuta wanashabikia na kushangilia taarifa zisizohusu serikali au siasa, kwa mfano utawakuta wakisifia ushindi wa Wakenya kwenye riadha na kadhalika, lakini ukiona mtu anajiita Mkenya anaponda vyote na kila kitu, huyo ni wa kutupa kule kwenye ignore list, hivyo hata ajibu hoja zangu au atukane vipi huwa hazionekani kwangu.
Wakenya wenzako walimjaribu kumuoji kama kweli ni mkenya akawathibitishia kwa kuongea lugha za kikenya na mambo mengine kuusu Kenya na wewe kama uamini muoji uone kama ni mtz au mkenya
Mkikuyu akili punguani,vile ninavyomuita si Mkenya,bali ni mtanzania ambaye ako na inferiority complex to his medulla oblongata,hajijui na kwa sababu ya kuchanganyikiwa na kupewa kiwewe na The Mighty Kenya,yuajiita hivo to appease his troubled mind.He has a sinus problem in the head.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Umezongwa na mawazo,low IQ people only post stupid trash you keep posting.You are so pathetic Mkikuyu akili punguani,by the way dont misuse my tribes name for your Tanzanian foolishness
Good to know wewe ni Mùgikuyu. Haya sikiliaza kwa makini: Ndirìaga gwaku na ndinyuaga gwaku, na urimù wa rùùrìrì ndùkandehere haha, twara nakùu mùchatha
 
Hahaha,my snare has taken this proconsul,now that yuv responded to my post,indeed wewe ni akili punguani.
wapi nimekutaja,vipi yuv just confirmed your low IQ status?
Wakenya bwana wanamuita mwenzao punguani siku watashangaa tz tunazidi kuwapiku kiuchumi Kwa speed ya kimondo ndiyo watamkumbuka mkenya akili timamu na kumfananisha na nabii nuhu
 
Hii ni habari njema sana kwa wtz lakini sidhan kama lengo hasa ni kukabiliana na wakenya...lengo Ni kuongeza thaman ya mazao hayo na kupunguza uhaba wa ajira mtaani pamoja n.a. kukuza kipato. ...kama wataathirika kwa namna yoyote ile basi wachukue hatua as kuingia shambani ili nao waweze kuendelea na uwekezaji kama huu ambao ilikua ni lazima uje ufanyike...
Nikishawahi kusema Tz tusifanye vitu kumkomoa mtu bali tufanye kwa ajili ya maendeleo yetu na vizaz vyetu...tutafika mbali kama tukifanya maendeleo yetu tunaangalia zaidi faida kwa watz

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
TRUE, KUNA VITU VINGINE VINAFANYIKA LAKINI SIS WENYEWE HUKU KWENYE MITANDAO TUNAVIFANYA KAMA USHINDANI WA KIJINGA, HII NI LENGO LA NCHI KUWAPATI AJIRA WATU WAKE NA KUPANDISHA THAMANI YA ZAO HILO ILI WAKULIMA NAO WAPATE AHUENI. SI KILA KITU TUNASHINDANA, VINGINE NI KWA AJILI YA NCHI HUSIKA, KILA NCHI INATAKA MAENDELEO TU
 
Tz haiwezi kijilinganisha na malawi au rwanda au uganda katika huu ukanda wa A. Mashariki, nchi pekee ambayo Tz itajilinganisha/kushindana nayo kiuchumi ni Kenya pekee.
Hpana babaa nyie jilinganisheni na kina landlocked countries kama Uganda na Zambia. Kenya iko level ya SA.
 
Production costs inakuaje chini kuliko Kenya? Tuchukulie mfano wa Tanbond na Blueband, ipi Ni cheap hapa Tz? Why?
Production costs ina include fixed costs (Land/rent, management salaries, machinery, insurance e.t.c ) + variable costs (Electricity, production supplies or raw materials, hourly production wages e.t.c)

Electricity tarriff Tz & Rw ziko chini kuliko nchi zote E.A. Construction costs & land ni lowest refer to Sgr Ke and Tz, Labour charges refer to Doctors strike in Kenya, cost of low material, security, political stability e.t.c. unaeza ukapitia na mengine mengi.

Kuhusu Blue band na Tan bond kuna kitu kina itwa Economies of scale, hii ina weza ikawa sababu. Kuchukua bidhaa moja kama mfano haitoshi. Ila na mimi niku ulize bei ya Tusker ya Kenya na ya Tz kwanini zinatofautiana?
 
Sasa mbona mnajikanganya, mara 'Kenya kupata pigo kubwa' mara 'Kenyan consumer kunufaika', nyie bana Kenya inawatesa sana, na mtaendelea vivyo hivyo mpaka mpokeze vizazi vya kesho huo uwoga wenu kwa Kenya.

Halafu huyo unaniambia Mkikuyu Timamu nilishamuweka kwenye ignore list yangu ya Jamii Forums, hivyo huwa sioni chochote anaandika maana nikishakuona troll, moja kwa moja natumia hiyo button ya ignore list. Huyo ni mtu mwenye matatizo ya kiaina, ambaye uraia wake sijui wa wapi maana kama mpinzani wa Kenya, lazima angekua na uzalendo wa kiaina hata kwa mambo yasiyohusu siasa, nilimshangaa sana ile siku aliponda taarifa za kijana Mkenya kutengeneza app, hapo ndio nilimpiga button ya ignore kama trolls wengine.

Wapinzani wa uongozi na serikali ya Kenya tumekua nao humu, wao huponda au kukosoa taarifa zozote zinazosifia serikali ambapo ni sawa na inapaswa hivyo, lakini hata hivyo utakuta wanashabikia na kushangilia taarifa zisizohusu serikali au siasa, kwa mfano utawakuta wakisifia ushindi wa Wakenya kwenye riadha na kadhalika, lakini ukiona mtu anajiita Mkenya anaponda vyote na kila kitu, huyo ni wa kutupa kule kwenye ignore list, hivyo hata ajibu hoja zangu au atukane vipi huwa hazionekani kwangu.
Si bora kuwa na mkikuyu akili timamu kuliko wana ukawa?
 
Back
Top Bottom