wewe si umefurahi ?CUF wajaribu kufanya fujo ndani ya Baraza la Wawakilishi na hatimaye kutoka nje lakini haikuzaa matunda, Sheria imepita!
Suala la katiba pendekezwa lisijadiliwe tena na wala "ukawa" isifanye lolote; iendelee kujipanga kwa ajili ya uchaguzi mkuu. Ajenda ya UKAWA katika kampeini ya uchaguzi iwe katiba mpya kwa maana hakijafanyika chochote. Hakuna kupinga, hakuna kuunga mkono. Shughuli iwe ni maandalizi ya uchaguzi mkuu 2015.
Tulitegemea kwamba UKAWA wangezuia Sheria ya Kura za Maoni, 2013 kutokupitishwa na Baraza la Wawakilishi kwa kuwa kuna wana-UKAWA wengi (CUF + CCM) lakini nambo yameenda kinyume na Sheria hiyo imepitushwa leo na Baraza hilo.
Mimi nashauri UKAWA wajipange upya kupiga kura za HAPANA Aprili 30 ili Katiba Inayopendekezwa irudishwe kwenye Bunge Maalum na hatimaye kufanyiwa marekebisho tanayohitajika, sio kususa!!