Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,972
Tulitegemea kwamba UKAWA wangezuia Sheria ya Kura za Maoni, 2013 kutokupitishwa na Baraza la Wawakilishi kwa kuwa kuna wana-UKAWA wengi (CUF + CCM) lakini nambo yameenda kinyume na Sheria hiyo imepitushwa leo na Baraza hilo.
Mimi nashauri UKAWA wajipange upya kupiga kura za HAPANA Aprili 30 ili Katiba Inayopendekezwa irudishwe kwenye Bunge Maalum na hatimaye kufanyiwa marekebisho tanayohitajika, sio kususa!!
Mimi nashauri UKAWA wajipange upya kupiga kura za HAPANA Aprili 30 ili Katiba Inayopendekezwa irudishwe kwenye Bunge Maalum na hatimaye kufanyiwa marekebisho tanayohitajika, sio kususa!!