Pigo lako, kupotea kwako na uwe mwisho wako

Baada ya kushusha hasira yote iliyokuwepo moyoni lazima ulikunywa lita nzima ya maji. Pole sana.
 
Samia Awe makini asali na atubu mostly ukiona watu zaidi ya wawili au watatu wanapata maono mabaya juu yqko kuwa makini.hata Magu watumishi na watu walimtabiria muda kabla hajafa na nyuzi zililetwa humu.Tafadhali sana Samia omba msamaja uliowakosea tubu wakati ni sada
 
Hata ungekopi Biblia nzima bado ni rubbish tu. Hayo madua ya ******* sana mnayoyaomba hayawezi kumpata.

Wameshindwa TEC ya Kitima na Josephat Gwajima na Novena zao ndiyo uje usikiwe wewe kajamba nani?

Shughulikia kula ya wanao, achana na mambo ya Serikali, siyo saizi yako
 
tulia dawa inamuingia ni vile huna uwezo wa kushuhudia
 
leta majina yako kamili nikutumie nawe mzigo
 
Kuna kifo kibaya

amesha chelewa
 
Imani hata ya kuondoa pepo la homa huna
Umekalia tu kutupgia makele hpa mtandaoni
1. Anza kwa kumtukuza mungu na kumpa sifa
2. Ita utukufu wake ushuke duniani na mapenzi yake yatamalaki
3. Omba sasa shida zako au haja ya moyo wako
4. Omba msamaha kwa uliyoyatenda maana wewe si mkamilifu. Kabla ya kurushia watu laana tubu dhambi zako zikiwemo za uongo, wizi wa simu; JITAHIDI KUWA MNYENYEKEVU MBELE ZA MUNGU
-SEMESHANA NA MUNGU KWA HOJA ZA MSINGI NA KWA UNYENYEKEVU NA SI KWA MIHEMKO.
5. Wasamehe waliokukosea
6. Omba MUNGU akuepushe na majaribu usije jilisha miujiza ya baal kama siku za babu zenu huko meriba
7. baada ya hayo mrudishie MUNGU utukufu na nguvu

jitahidi sana kuwa mnyenyekevu maana kiti cha ENZI si kiti anachokalia mwamakula, chadema, ccm, TEC, CCT AU SHEKHE WA BAKWATA.

jitahidi sana kuiombea nchi yako
yona alipotumwa ninawi hakupeleka laana bali kuwataka watu watubu, yohana hvo hvo, paul, petro na mitume wengne
imani yako haifiki ukubwa wa punje ya haladali, wawezaje kulaani?
 
hii ni yangu weka yako
 
Ukafiri kazi kweli kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…