Ndg.MWASALEMBA.
Senior Member
- Dec 18, 2013
- 141
- 280
Hellooo Boss!
Hii nayo ni analysis yangu fupi,kwanza napenda kudikrea interest na BOXER-ni muajiriwa wa BOXER.
Hapa (a) BOXER pale pikipiki aina (b) nyingine hasa za kichina;
angalizo tathimini hii imeegemea zaidi kwa mjasiriamali anaewekeza kupata faida;
1. kwa siku fanya wote wako barabarani na hesabu yao hadi wanaenda kulala ni 35000/-TZS
LAKINI-hapa mwenye BOXER anakuwa na kipato cha ziada kinachosababishwa na sababu kubwa moja nyingine zote fanya hazibadiliki na hii sababu ni lazima iwepo nayo ni MATUMIZI YA MAFUTA-kama huyo sanlg n.k atatumia kwa siku elfu 10 kwenda sheli na ndiyo jioni ikamzalishia elfu 35 basi wa boxer atakuwa alitumia elfu 5 kwa ajili ya mafuta lakini jioni pia akapata kipato kilekile cha elfu 35 hivyo 35+5 =40....wachina lita 1 inaenda kilometa 32 wakati boxer lita 1 inaenda 60 kilometa.ukiwa kama kweli mjasiriamali io ni point ya ushindi!
2.boxer 95% ya utengenezwaji wake ni nondo na udongo mzito mfano medigadi yake utakapoiona boxer popote pale panda juu yake kisha rukaruka utaivunja lkn usifanye kwenye sanlg n.k hii inasaidia nini? wakati wa ajari hakuna anaejua hatua moja mbele ikitokea lolote angalau uaribifu wake na kuumia kwake si sawa na aina nyingine ya pikipiki ushaidi tafuta shuhuda anaetumia boxer atakwambia.hizi pikipiki nyingine zimetengenezwa kwa bati na bomba...kifupi wanauzia lile tendo la kumove otherwise ukiipeleka ata chuma chakavu upati laki,blv me not! mana ni material mepesi sana.
3.kelele na stylish...boxer haidanganyi ikiwa kituoni abiria anatangulia kuiona na ikitokea ipo kituoni atataka aipande coz anajihisi ufahari flani na hazi kiasi unaeza zani ni pkpk ya private si bodaboda tofauti na kelele za mchina.mchna hasara
4.hazivibrate kifupi boxer haitiii nyege,tafuta ukweli hasa kwa wadada wanaopanda hz za kchna alafu aende mwendo mrefu kdogo ule mtetemo umsisimua na kumpa hashki kabisa wakati boxer haina kuzalilisha uko.
5.kuusu garama ya vipuri kwa dar naweza sema njoo ofcn boxer kwenyewe utapata kwa bei ya kawaida na vipuri vingi vinauzwa complete thats y wanasema gharama wakati wachna wanauza kmojakmoja jambo ambalo mwsho wa mwezi mnaenda sawa lkn mchna kila siku utabadili kipuri boxer wewe mwaga oil tu.tena msisitizo ukitumia oil ya aina yoyote iwe 20W 50 io boxer itakaa ata miaka kumi,tatzo madereva wanachankachua sana na anaeza enda ata 1000km ajamwaga oil na akimwaga ananunua galasha ata ya buku tatu wakati io nayo sema aizd elfu 11 wao wanasema gharama tena unaipata popote-mana kilometa 1000 umeshaingiza shiling ngap adi uone 11elfu ya oil gharama.shtuka!
6.speed-hl nisizungumze sana naamini unaangalia vyombo vya abari...si jambo jema lkn hata wazee wa kazi wanapokwenda kwenye matukio hutumia boxer sio pkpk za kichna.
7.nguvu-mvivu tu wakufikir na fact ndio atakwambia zakichna znanguvu-chukua manual ya boxer na chukua manual ya pkpk ya kchna angalia uezo wake wa ubebaji mizigo.kumbuka boxer ni nondo na udongo mzto wakati mchna bomba na bati sasa sijui nani atakuwa na nguvu apo,elimu ya darasa la pili inatosha apa kuelewa hl.
8.ushauri ni bora ukanunue boxer ata kwa mtu lakini sikushauri ununue mchna mpya-io pesa wekeza ktk biashara ingine.
9.pia kama hauendeshi ww hakikisha unausimamizi sahihi kwa maana dereva sahihi-tafuta utaratibu bora.
10.sanlg.toyo,fekon ao wooote walitangulia sokoni hasa maeneo mbalimbali ya inchi so wanaile advantage kuwa wakwanza kufika sokoni but blv me not boxer wl take over coz imeshaprove nchi mbalimbali juu ya hilo hasa kwa watumiaji wa kichna akisha tumia boxer harudi kwenye io pkpk ya kchna kabisa akikosa boxer anaona bora aache.
11.mpya dukani nakupa kwa 2050000/- plus registration but bila bima.garentiii tu ya mwaka mmoja na nusu ktk injini.
0713430630...nilale bhana,c u wen c me.