Habari wana Jf,kuna pikipiki naziona mtandaoni na zimenishawishi kutaka kuzinunua maana zinavutia,jee nahitaji kufahamu kwa wale wenye uzowefu nazo hizo pikipiki zinaitwa Vont tank 1 &2 zina cc 150 ila top speed yake mi 140 zinafanana na Honda ADV tatizo la Honda bei ni kubwa sana.
Wazoefu naomba mzielezee mazuri yake na mabaya yake na ushauri wenu jee naweza kuinunua?
Nb: Pikipiki ni Auto gear sio Manual
Wazoefu naomba mzielezee mazuri yake na mabaya yake na ushauri wenu jee naweza kuinunua?
Nb: Pikipiki ni Auto gear sio Manual