chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,118
..Na hapa bado ADHA ya Trafiki.....Kukibia kupata 8000 kwa siku pamoja na fedha ya mafuta na ya Mtu binafsi. Pikipiki 200 Mjini zikitafuta Milioni 1.6 kwa siku. Kasi ya utafutaji ITAWAUA wamiliki ....Riba ya 46% ni zaidi ya mabenki yanayotoza kati 15% na 23%, huu ni utapeli na wizi kwa wanyonge.
Ulitakaje wapewe bure?Hakuna aliyeumia ila nawaonea huruma sana wakopaji kwa uzoefu wangu wa mikopo only 25% ya wakopaji huweza kurudisha wengine huishia kufilisiwa na mifano ipo mingi.
tuliambiwa ni Tshs. 7000 kwa siku sasa hiyo 8000 umeitoa wapi??KUMBE WAZIRI MKUU AMEINGIZWA KWENYE MRADI WA KITAPELI ARUSHA.
Siri imefichuka kuhusiana na pikipiki 200 zilizogawia kwa vijana wa Arusha, mwishoni mwa wiki iliyopita WAZIRI MKUU Majaliwa K Majaliwa alizindua pikipiki 200 waliokopeshwa vijana wa Arusha,
Jana nilikutana na mmoja wa wafanyabiashara wakubwa wa pikipiki mjini Arusha ambaye kwa maelezo yake aliniambia anafahamu kuhusu huo Mradi na kwa mara kadhaa walikutana na mkuu wa mkoa wa Arusha ndg Mrisho Gambo kukubaliana ili pikipiki zake ziingizwe kwenye Mradi huo, kwa maelezo yake kuna mambo walishindwa kukubaliana na RC Gambo nadhani ndo ikawa sababu ya yeye kutoshwa,
Sasa kwa msiyojua huo mradi haukuwa msaada kama ulivyokuwa ikitangazwa bali ni biashara tena ya kinyonyaji embu fuatilia masharti ya mkopo wa pikipiki hizi,
Kila aliyekopeshwa pikipiki alitakiwa adhaminiwe na mtu mwenye hati ya nyumba au mali isiyohamishika, hapa mkopeshaji anapata hakika ya kupata marejesho ya mkopo wake.
Kila mkopaji wa pikipiki alitakiwa arejeshe kiasi cha Tsh 8000 kwa siku ndani ya mwaka mzima yaani kwa siku 365
Sasa wewe chukua 8000×365=2920,000
Kwa maana hiyo kila mtu atakuwa ameuziwa pikipiki tsh 2,920,000/=
Bei ya Pikipiki ya aina zilizokopeshwa dukani ni tsh 2000,000/=
Kwa maana hiyo tsh 920,000/= anayopata mkopeshaji ni riba ya mkopo wake huo,
Hii inamaana kwamba amepata fursa ya kuuza pikipiki 200 kwa mwaka kiasi ambacho siyo rahisi kwa kipindi kama hichi kukifikia mauzo ya kiwango hicho, lakini pia anapata riba ya mtaji wake ya kiasi cha tsh 920,000/= kwa pikipiki moja,
Hii inamaana kuwa Ukiacha faida ya kawaida tu ya kuuza pikipiki moja tsh 2000,0000/= mkopeshaji anapata cha ziada yaani riba ya tsh 920,000×200=184,000,000.
Mwisho wa siku huyo anayesema amewasaidia vijana kujikwamua kiuchumi atakuwa ametengeneza tsh milioni 184 kwa mwaka.
Ukiacha bishara ya madini ya Tanzanite hapa Arusha sijui kama kuna biashara nyingine inalipa kama hii, sasa sijui Waziri mkuu ameingizwa kwenye dili hili kwa kujua au kwa kutojua sijui, ila mimi tu niwatakie wakopaji kila la Kheri katika kurejesha fedha kwa waliowasaidia kwa wakati wasije kufilisiwa waliyowadhamini.
Wengi hawakuliona hili....na mbaya zaidi kwenye matangazo na hotuba tumeambiwa ni pikikipi za msaada [emoji144] [emoji144] [emoji144]Riba ya 46% ni zaidi ya mabenki yanayotoza kati 15% na 23%, huu ni utapeli na wizi kwa wanyonge.
Kwani walishikiwa bunduki lazima wazichukue?..Na hapa bado ADHA ya Trafiki.....Kukibia kupata 8000 kwa siku pamoja na fedha ya mafuta na ya Mtu binafsi. Pikipiki 200 Mjini zikitafuta Milioni 1.6 kwa siku. Kasi ya utafutaji ITAWAUA wamiliki ....
Soma post #14Kwa hiyo waliokopeshwa sio vijana ni vikongwe wa miaka 90 kwenda mbele?
Umeongea point. Hizo piki piki zifikisha miezi mi8 vilio vitaanza.Tujiandae kusikia vilio vya wakopaji, walioweka bond nyumba na mkopeshaji.
Wasifikiri kupata elfu 8 kila siku ni jambo rahisi, kuna masika, pikipiki mbovu wiki, ajali, kuibiwa/kuporwa, kuugua/kulazwa na matatizo mengine ya kijamii.
Utapeli ni pale jamii imedanganywa kuwa ni mgao wa pikipiki kwa vijana kumbe ni mradi wa matajiriUtapeli uko wapi? Unadhani kama kila mmoja angeamua kujichanga ili aje kununua pikipiki yake angefanikiwa? mtaji angeutoa wapi? Kama muuzaji/mkopeshaji angeuza kwa cash unadhani angezungusha mara ngapi? kwa nini na yeye asipate faida?
Na wakishindwa kulipa dhamana zinachukuliwa kiulaini kama sikutiana umasikini ni nini ?
Unafikiri wanaokwenda kukopa benki hawana akili timamu, ni kutokana na unyonge wako tunalazimika kukopa hata kama unapewa masharti magumu, kilio huja baadae.Bakeza hizo pikipiki ni aina gan? Kama ni boxer hiyo fedha ni sahihi, lakini pia ungefanya utafiti wa kutosha pengine huyo bwana uliyekutana naye amekueleza kwa mihemko ya kukosa hilo diri. Ni vyema pia ungeambatanisha maoni ya wananchi waliokopesha pikipiki husika, tujue wao wanasemaje kuliko kutuletea story za jamaa aliyetoswa diri.
Lakini pia naamini hao wakopeshwaji wanaakili timamu na hayo masharti uliyoyataja watakuwa wanayajua vizuri kuliko wewe uliyoyasikia
Fafanua basiMbona ni deal fresh kabisa mkuu hapo hakuna issue na kwa Aliyepewa pikipiki hii atakuwa amenufaika sana.
...Hapana. Ila kunaweza kukawa na "Bunduki" za "kuwasindikiza" watakapo shindwa kurejesha walichokopa...Kwani walishikiwa bunduki lazima wazichukue?