INAUZWA Pikipiki & Bajaji

INAUZWA Pikipiki & Bajaji

Levites

Member
Joined
Jan 9, 2018
Posts
65
Reaction score
29
Unahitaji pikipiki au BAJAJI kwa Ajili ya mutumizi yako binafsi, biashara au taasisi karibu tukuhudumie
TVS, BOXER, HERO na aina zingine zote zinapatikana.
kwa Dsm pekee
Tupigie 0652659775 au 0620617985

Screenshot_20220109-172900.jpg
IMG_20221109_121139.jpg
 
Biashara kama hii huwa inapunguza wateja hususani bango lako linapokosa vitu basic kama vile bei ya kila bidhaa na location halisia ya ofisi zenu.

Habari za mara piga simu sijui njoo PM, DM n.k zinatengeneza walakini kwenye biashara kuliko ukiweka kila kitu hadharani
 
Biashara kama hii huwa inapunguza wateja hususani bango lako linapokosa vitu basic kama vile bei ya kila bidhaa na location halisia ya ofisi zenu.
Habari za mara piga simu sijui njoo pm, dm n.k zinatengeneza walakini kwenye biashara kuliko ukiweka kila kitu hadharani
Asante mkuu location imewekwa kwenye comments kuhusu bei hatuweki sababu ni kua bei zinabadirika Kila wakati wazo lako ni zuri
 
Back
Top Bottom