devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 268
- 370
Wengine wanasema block ya sLL ni nzuri na imara kuliko ya boxer yenyewjipige ununue block mpya original
Block kampuni ya SLL JE IPO VIZURI KULIKO YA BAJAJ??Huo ndo ugonjwa mkuu wa boxer.badil block tu hapo itakaa sawa
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
bajaj ndio kampuni inayotengeneza boxer, hivyo ni vizuri kutumia ya kampuni hiyo hiyo. sema bei imechangamka 150kWengine wanasema block ya sLL ni nzuri na imara kuliko ya boxer yenyew
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app