Pikipiki boxer kutoa moshi nini suluhisho

Pikipiki boxer kutoa moshi nini suluhisho

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
268
Reaction score
370
Wakuu msaada tafadhali ..nimezunguka na boxer kwa mafundi wameniambia ni rings mara piston ..nimenunua nimepachika lakini zinakaa wiki zinakufa na moshi unaendelea kutoka ...nin suluhisho la kudumu
 
Back
Top Bottom