Pikipiki Boxer na TVs...hazifai na hazitengenezeki?

Pikipiki Boxer na TVs...hazifai na hazitengenezeki?

Wenye magari kwenye huu uzi tunashangaa tu vile self zikiwagomea vile mnapiga Kiki full kutetemeka sehemu zenu mnashitua sperm zimelala.
"Ndo maan waendesha Boxer tunawatafuna sana ao mnaowaita wake zenu sababu sisi sperm zetu hazilali"
Alisikika bodaboda mmoja....
 
"Ndo maan waendesha Boxer tunawatafuna sana ao mnaowaita wake zenu sababu sisi sperm zetu hazilali"
Alisikika bodaboda mmoja....
Sperm zinatakiwa ziamke ukiwa unapiga mashine, upige tako ndo zitoke.
Sasa mkuu unataka umwage kwa kupiga Kiki tu.
 
Sperm zinatakiwa ziamke ukiwa unapiga mashine, upige tako ndo zitoke.
Sasa mkuu unataka umwage kwa kupiga Kiki tu.
Twende Mbele Turudi nyuma..
Boda boda wanapendwa sana na wanawake...😁😁😁😁

Siwatetei ila hawa jamaa ni tishio kwa ndoa kama putin😁😁😁🤣
 
Tafuta fundi mzuri hutajuta na kutafuta mangalangala, ninatumia boxer miaka 7 na iko vizuri sana
 
Wakuu hizi pikipiki kwa Bongo hazifai ...zinatoa moshi hatari ...nimeweka block mpya napo bado inatoa moshi Boxer ...nishaurini niweke block kampuni gan ili isiendelee kutoa moshi??
ulitakiwa uweke block original , box lake limeandikwa bajaj bajaj, kwenye box kuna stika inasehemu yenye rangi ya gold ukikwangua kama unavokwangua vocha utakuta neno GENUINE
 
Nicheki humu 0659445718 nikupe fundi mmoja hatari saana, huyu kaanza toka enzi za mjapan anapiga kazi, kuna boxer yangu moja aliirekebisha(kuifufua) ilirudi kama nyeepe
 
Back
Top Bottom