Hamis Juma JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 2,229 Reaction score 2,272 Jun 14, 2017 #1 Nahitaji pikipiki isiyozidi cc125, hasa mpya. Ni wapi ninapoweza kuipata kwa dar na aina zipo ni bora?!
Nahitaji pikipiki isiyozidi cc125, hasa mpya. Ni wapi ninapoweza kuipata kwa dar na aina zipo ni bora?!
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Jun 14, 2017 #2 Jaribu kwenda kariakoo unaweza kupata
Mbalamwezi1 JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 2,073 Reaction score 2,026 Jun 15, 2017 #3 upupuwapwani said: Nahitaji pikipiki isiyozidi cc125, hasa mpya. Ni wapi ninapoweza kuipata kwa dar na aina zipo ni bora?! Click to expand... Nenda maeneo ya kariakoo ndo utapata aina tofauti tofauti
upupuwapwani said: Nahitaji pikipiki isiyozidi cc125, hasa mpya. Ni wapi ninapoweza kuipata kwa dar na aina zipo ni bora?! Click to expand... Nenda maeneo ya kariakoo ndo utapata aina tofauti tofauti
Hamis Juma JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 2,229 Reaction score 2,272 Jun 15, 2017 Thread starter #4 Mbalamwezi1 said: Nenda maeneo ya kariakoo ndo utapata aina tofauti tofauti Click to expand... Asante, nipo huko naangalia angalia
Mbalamwezi1 said: Nenda maeneo ya kariakoo ndo utapata aina tofauti tofauti Click to expand... Asante, nipo huko naangalia angalia
kikwambi Member Joined Jun 30, 2016 Posts 92 Reaction score 31 Jun 16, 2017 #5 Pikipiki nazo ni za kutafuta mkuu?
Hamis Juma JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 2,229 Reaction score 2,272 Jun 16, 2017 Thread starter #6 kikwambi said: Pikipiki nazo ni za kutafuta mkuu? Click to expand... Nina vipesa vya mahindi nilivyouza mpepai huko, nikaona nije mjini "kutafuta" hiyo pikipiki... Sio wote wazoefu ama wanajua vile unavovijua wewe
kikwambi said: Pikipiki nazo ni za kutafuta mkuu? Click to expand... Nina vipesa vya mahindi nilivyouza mpepai huko, nikaona nije mjini "kutafuta" hiyo pikipiki... Sio wote wazoefu ama wanajua vile unavovijua wewe