Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Sinoray kwani wana dizaini kama king lion.Naoma nyingi ni jamii ya baja na XL.Nataka pikipiki ya biashara na si luxury kama sinorayhaujue
sinoray
ishi umo kaka
Mkuu bajeti inabana.Nataka hizi za kichina za kubeba abiriaNunua Honda.Honda ni durable,reliable na kadhalika.Honda ni ngumu sana.
Haha King Lion sioπ π¦
Bei yake kichaa.Nunua Honda.Honda ni durable,reliable na kadhalika.Honda ni ngumu sana.
Yaan hapo pikipiki kwa hizi za kichina ni hiyo KINGLION 150 hiyo ndiyo pikipiki ya kaziNinataka kutafuta pikipiki kwa ajili ya bodaboda na kutembelea pia.Ninataka kufahamu je ni pikipiki gani ya kichina ambayo angalau ina ubora kiasi kati ya hizi
Fekon
SanLG
King Lion
T better
Halafu yote naona kama yanafanana fanana yametofautiana majina tu.Halafu yote ni kama yanaishia kuwa mafupa ndio maana nikawa hata sielewi ipi ina afadhaliYaan hapo pikipiki kwa hizi za kichina ni hiyo KINGLION 150 hiyo ndiyo pikipiki ya kazi
Sanlg hapana kwa kazi si bora zaid ya King,
Sinoray hapana sio ya kazi na haiizid kinglion kwa obora katika kazi
Haojue hiyo ni pikipiki ya misele tu na speed nyingiii lakini sio ya kazi ukilinganisha na kinglion
Hao wahindi na wajapani sijui honda ,tvs, boxer and co.hizo ni pikipiki za mjini tu mtu asikudanganye ni pikipiki bora ndio ila sio za kazi .