Pikipiki gani ya kichina ni nzuri kati ya hizi?

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
3,865
Reaction score
4,506
Ninataka kutafuta pikipiki kwa ajili ya bodaboda na kutembelea pia.Ninataka kufahamu je ni pikipiki gani ya kichina ambayo angalau ina ubora kiasi kati ya hizi
Fekon
SanLG
King Lion
T better
 
Yaan hapo pikipiki kwa hizi za kichina ni hiyo KINGLION 150 hiyo ndiyo pikipiki ya kazi

Sanlg hapana kwa kazi si bora zaid ya King,

Sinoray hapana sio ya kazi na haiizid kinglion kwa obora katika kazi

Haojue hiyo ni pikipiki ya misele tu na speed nyingiii lakini sio ya kazi ukilinganisha na kinglion

Hao wahindi na wajapani sijui honda ,tvs, boxer and co.hizo ni pikipiki za mjini tu mtu asikudanganye ni pikipiki bora ndio ila sio za kazi .
 
Halafu yote naona kama yanafanana fanana yametofautiana majina tu.Halafu yote ni kama yanaishia kuwa mafupa ndio maana nikawa hata sielewi ipi ina afadhali
 
Back
Top Bottom