Pikipiki inazima baada ya kusimama au ninapotaka kusimama

Zekoddo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
1,886
Reaction score
4,606
Wataalam wa kuendesha pikipiki hebu nisaidieni hapa.. Huwa naendesha gear namba 3 na sio speed kubwa kulingana na jiogrofia ya maeneo ninayoishi.

Ila Shida inakuja nikitaka kusima hata kidogo pikipiki huwa inajizima na kunitaka hadi niiwashe tena.. hivi ninafeli wapi hapa wajuzi wangu..?

Na je, clach ninaweza kutumia sambamba na break pindi ninapitaka kusimama..? Au ninaweza kutumia kama mbadala wa break..?
 
Zipo baadhi ya pikipiki hata unapokua kwenye mwendo wa kawaida, ukiachia mafuta hadi mwisho ni lazima izime, na iwapo umesimama ipo ndani ya gia, hujavuta mafuta na umeachia klachi itazima pia, kwa tatizo la pikipiki yako, jitahidi unapo hitaji kupunguza mwendo, basi usiachie mafuta hadi mwisho, badala yake tumia klach na brek kupunguza mwendo...
 
P
Wataalam wa kuendesha pikipiki hebu nisaidieni hapa.. Huwa naendesha gear namba 3 na sio speed kubwa kulingana na jiogrofia ya maeneo ninayoishi.

Ila Shida inakuja nikitaka kusima hata kidogo pikipiki huwa inajizima na kunitaka hadi niiwashe tena.. hivi ninafeli wapi hapa wajuzi wangu..?
Na je, clach ninaweza kutumia sambamba na break pindi ninapitaka kusimama..? Au ninaweza kutumia kama mbadala wa break..?
Nachukia mawazo yangu sijui nimewaza nini
 
Back
Top Bottom