Nachukia mawazo yangu sijui nimewaza niniWataalam wa kuendesha pikipiki hebu nisaidieni hapa.. Huwa naendesha gear namba 3 na sio speed kubwa kulingana na jiogrofia ya maeneo ninayoishi.
Ila Shida inakuja nikitaka kusima hata kidogo pikipiki huwa inajizima na kunitaka hadi niiwashe tena.. hivi ninafeli wapi hapa wajuzi wangu..?
Na je, clach ninaweza kutumia sambamba na break pindi ninapitaka kusimama..? Au ninaweza kutumia kama mbadala wa break..?
We wa kupigwa na mawe kabisaaVijana bhana... unaweza kudhania inaongelewa piki piki kumbe mambo mengine kabisa