jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 4,682
- 12,132
Kamata mpya 3M tu kwa dsm, mikoani inaweza zidi kidogoMbona chuma ime tumika, halafu bei ya mpya.
Huu mninga umefanya vizuri sana sokoni. Kama mjapani kwa Toyota mkonge. Moja ya pikipiki zenye stamina. Hizi ukizikuta huku shamba ndio utaelewa huyu mnyama ana roho ya aina gani.
Ukiitunza siku ya kuuza unauza bei unayotaka, haiporomoki bei hata ikiwa usedHuu mninga umefanya vizuri sana sokoni. Kama mjapani kwa Toyota mkonge. Moja ya pikipiki zenye stamina. Hizi ukizikuta huku shamba ndio utaelewa huyu mnyama ana roho ya aina gani.
Hii pikipiki vijijini inakubalika mno. Magunia ya mpunga inabeba wakulima wanaipenda. Mwenyewe nilienda na jamaa shambani kwake kuna maji mengi ila hii ikapita nikainyooshea mikono. Nilikuwa nashangaa wanapakia magunia wanapita nayo kwenye matope.
Kuna watu wanabebea kg 400-500 za mchele. Hapa ifakara na mangula. Hoajue ni nyoko.Hii pikipiki vijijini inakubalika mno. Magunia ya mpunga inabeba wakulima wanaipenda. Mwenyewe nilienda na jamaa shambani kwake kuna maji mengi ila hii ikapita nikainyooshea mikono. Nilikuwa nashangaa wanapakia magunia wanapita nayo kwenye matope.
Nadhani Haojue wakileta dirt bike muundo kama Yamaha DT series watauza maana Sinoray haijawa na review nzuri sana na Yamaha ina bei wengi hawamudu. Hongli inajitahidi kidogo kwenye dirt bikes.
Kinglion ina nguvu ila inachakaa mapema na kelele nyingi kwa injini, ina vibration na value for resale baada ya matumizi ni ndogo ukilinganisha na haojue mningaBoss nyanda za juu kusini mnyama ni kinglion tu,hakuna cha sinoray,sanlg,tvs wala haoujue... Kwanza haoujue huku kwetu ni mayai sana hazimudu kabisa mazingira haya
Mnanunua haojue ipi?Boss nyanda za juu kusini mnyama ni kinglion tu,hakuna cha sinoray,sanlg,tvs wala haoujue... Kwanza haoujue huku kwetu ni mayai sana hazimudu kabisa mazingira haya
ni theluthi mbili ya wachangiaji humuKumbe jamiiforum tupo pamoja na bodaboda humu khaaaa 🚮🚮🚮