Pikipiki kujiresi

Pikipiki kujiresi

Amaizing Mimi

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2019
Posts
489
Reaction score
1,102
Msaada wenu unahitajika wakuu.pikipiki yangu TVS 125.Mwaka jana iliua cylinder head nikaiweka ndani,wiki iliyopita nilinunua cylinder head mpya nikafunga,Tatizo linalonikabili ni kuwa ukiiwasha inajiresi sana.Ukitembea kidogo inakaa sawa lakini ukisimama shida inarudi palepale.
 
check cabulator, kama ipo sawa check ile rottle na kebo ya kuvutia mafuta
 
Back
Top Bottom