Mnataka aanguke nayo mapema, mtego au?Wafanyakazi wamechanga kununua pikipiki ya mstaafu, ulitaka wajikamue wanunue gari , kwanini hakununua mwenyewe wakati yupo kazini.
Pia kumbuka mafao yake ndio stahiki zake kisheria.
At least wangemzawadia bjj. Na uzee huo akaendeshe boda? Hapo angekuwa ndio mkurugenzi anastaafu ungeshangaa angezawadiwa VX.Acha akazitafute hizo buku buku barabarani
Naona kuishi kwenye nchi iliyojaa ufisadi na uongozi mbovu kumeathiri sana watanzania. Hii ni zawadi na ni ishara ya kuonyesha mchango wake unatambulika na siyo mtaji wa maisha. Nchi zilizoendelea haya mambo ni ya kawaida sana, mtu anaweza kupewa certificate na zawadi ndogo kama hiyo pikipiki au hata mashine ya kutengenezea vinywaji kwa matumizi ya nyumbani. Tatizo letu sisi ni kutojua chanzo cha tatizo na kujaribu ku deal na dalili za tatizo. Kama tungekuwa kwenye nchi yenye uongozi mzuri, huyu mstaafu angekuwa amelipwa mshahara mzuri tangu alipoanza kazi, baada ya kustaafu angekuwa anasubiri pension ya kumwezesha kuishi maisha mazuri na siyo eti kupewa bajaji kama mtaji wa kwenda kuanza maisha baada ya kustaafu. Mtaji wa nini tena wakati mtu kastaafu na anatakiwa kupumzika ale pension? Ni nini maana ya kustaafu sasa kama mnataka apewe ''mtaji'' wa kufanyia shughuli?At least wangemzawadia bjj. Na uzee huo akaendeshe boda? Hapo angekuwa ndio mkurugenzi anastaafu ungeshangaa angezawadiwa VX.
asieshukuru kwa kidogo hata kikubwa hawezi kushukuru,Kauli ya Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, kuhusu kumuaga rasmi Bw. Mfaume Ramadhan baada ya miaka 39 ya utumishi wa umma imeibua mjadala mpana wenye maswali mazito kuliko majibu. Miaka thelathini na tisa si wiki mbili, wala si ajira ya muda mfupi. Ni karibu maisha yote ya mtu—ujana, utu uzima, na uzee—vimewekwa mezani kuitumikia serikali kwa uaminifu.
Bw. Mfaume, Mhudumu wa Ofisi, ameajiriwa tangu enzi za mabadiliko ya kiutawala ndani ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo; ameshuhudia misimu ya viongozi, sera, na majina ya wizara yakibadilika. Katika kipindi chote hicho, sifa zake zinasimama zenyewe: mchapakazi, mwenye nidhamu, mtulivu, msikivu, asiye na majivuno, na mpenda michezo. Huyo si mfanyakazi wa kawaida—ni nguzo tulivu ya taasisi.
Ndipo tunapofika kwenye kilele cha habari: zawadi ya kumuaga ni PIKIPIKI. Swali la msingi linajitokeza bila hofu—je, hii ni heshima au kejeli iliyofichwa kwenye tabasamu la sherehe? Taifa lenye bajeti kubwa, lenye magari ya kifahari na majengo ya mabilioni, linashindwa kumwonyesha mzee wa watu shukrani ya hadhi yake? Nyumba ndogo ya vyumba viwili? Gari la matumizi ya familia kama Toyota Noah? Hata pensheni yenye uhakika wa heshima? Hapana—pikipiki.
Hapa ndipo mjadala wa maadili ya utumishi wa umma unapopasuka. Tunawatuma vijana waingie kazini kwa moyo wa kujituma, lakini tunawaaga wazee wetu kwa ishara zinazoumiza tena zenye kebehi. Ujumbe unaofika ni hatari: jitume kadiri utakavyo, mwisho wa safari unaweza kuwa mdogo kuliko mchango wako.
Heshima si hotuba, ni vitendo. Kama kweli tunathamini utumishi wa umma, basi namna tunavyowaaga waliotumikia kwa uaminifu ndiyo kipimo cha utu wetu kama taifa.
Kwa hoja yako hii inabidi mjadala ufugwe!!Naona kuishi kwenye nchi iliyojaa ufisadi na uongozi mbovu kumeathiri sana watanzania. Hii ni zawadi na ni ishara ya kuonyesha mchango wake unatambulika na siyo mtaji wa maisha. Nchi zilizoendelea haya mambo ni ya kawaida sana, mtu anaweza kupewa certificate na zawadi ndogo kama hiyo pikipiki au hata mashine ya kutengenezea vinywaji kwa matumizi ya nyumbani. Tatizo letu sisi ni kutojua chanzo cha tatizo na kujaribu ku deal na dalili za tatizo. Kama tungekuwa kwenye nchi yenye uongozi mzuri, huyu mstaafu angekuwa amelipwa mshahara mzuri tangu alipoanza kazi, baada ya kustaafu angekuwa anasubiri pension ya kumwezesha kuishi maisha mazuri na siyo eti kupewa bajaji kama mtaji wa kwenda kuanza maisha baada ya kustaafu. Mtaji wa nini tena wakati mtu kastaafu na anatakiwa kupumzika ale pension? Ni nini maana ya kustaafu sasa kama mnataka apewe ''mtaji'' wa kufanyia shughuli?
Umeandika bonge la point mkuu,Big up sana.Naona kuishi kwenye nchi iliyojaa ufisadi na uongozi mbovu kumeathiri sana watanzania. Hii ni zawadi na ni ishara ya kuonyesha mchango wake unatambulika na siyo mtaji wa maisha. Nchi zilizoendelea haya mambo ni ya kawaida sana, mtu anaweza kupewa certificate na zawadi ndogo kama hiyo pikipiki au hata mashine ya kutengenezea vinywaji kwa matumizi ya nyumbani. Tatizo letu sisi ni kutojua chanzo cha tatizo na kujaribu ku deal na dalili za tatizo. Kama tungekuwa kwenye nchi yenye uongozi mzuri, huyu mstaafu angekuwa amelipwa mshahara mzuri tangu alipoanza kazi, baada ya kustaafu angekuwa anasubiri pension ya kumwezesha kuishi maisha mazuri na siyo eti kupewa bajaji kama mtaji wa kwenda kuanza maisha baada ya kustaafu. Mtaji wa nini tena wakati mtu kastaafu na anatakiwa kupumzika ale pension? Ni nini maana ya kustaafu sasa kama mnataka apewe ''mtaji'' wa kufanyia shughuli?
wangempa zawadi yoyote ila sio pikipikiWafanyakazi wamechanga kununua pikipiki ya mstaafu, ulitaka wajikamue wanunue gari , kwanini hakununua mwenyewe wakati yupo kazini.
Pia kumbuka mafao yake ndio stahiki zake kisheria.
Hii nchi imejaa wajinga wengi sana, na huu mtandaoni ndio baromita ya kuainisha uhalisiaNaona kuishi kwenye nchi iliyojaa ufisadi na uongozi mbovu kumeathiri sana watanzania. Hii ni zawadi na ni ishara ya kuonyesha mchango wake unatambulika na siyo mtaji wa maisha. Nchi zilizoendelea haya mambo ni ya kawaida sana, mtu anaweza kupewa certificate na zawadi ndogo kama hiyo pikipiki au hata mashine ya kutengenezea vinywaji kwa matumizi ya nyumbani. Tatizo letu sisi ni kutojua chanzo cha tatizo na kujaribu ku deal na dalili za tatizo. Kama tungekuwa kwenye nchi yenye uongozi mzuri, huyu mstaafu angekuwa amelipwa mshahara mzuri tangu alipoanza kazi, baada ya kustaafu angekuwa anasubiri pension ya kumwezesha kuishi maisha mazuri na siyo eti kupewa bajaji kama mtaji wa kwenda kuanza maisha baada ya kustaafu. Mtaji wa nini tena wakati mtu kastaafu na anatakiwa kupumzika ale pension? Ni nini maana ya kustaafu sasa kama mnataka apewe ''mtaji'' wa kufanyia shughuli?
Mkuu ni Bati 20 na hizo bati utakuta mstaafu familia inaishi Dar ila yeye yupo kikazi Bukoba, ukipiga hesabu yq kuzitoa bati Bukoba mpaka Kigamboni unachoka.Bora huyu, kunawengine upewa Bati 12