INAUZWA Pikipiki laki 9 na nusu

INAUZWA Pikipiki laki 9 na nusu

spirit255

Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
38
Reaction score
10
Habari
Husika na kichwa hapo juu, Kwa yoyote anae hitaji pikipiki, Bei ni Laki 9 na Nusu, Tafadhari tuwassiliane kwa namba ifuhatayo +44 7452 925919 WhatsApp.

Haijawai kutumika kama bodaboda, Inanyaraka zote za msingi, Haidaiwi, Imetumika kwa kipindi cha muda wa mwaka mmoja. Eneo ilipo ni Wazo hills
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2017-10-24 at 07.26.32.jpeg
    WhatsApp Image 2017-10-24 at 07.26.32.jpeg
    86.5 KB · Views: 87
  • WhatsApp Image 2017-10-24 at 07.27.09.jpeg
    WhatsApp Image 2017-10-24 at 07.27.09.jpeg
    74.9 KB · Views: 94
  • WhatsApp Image 2017-10-24 at 07.27.28.jpeg
    WhatsApp Image 2017-10-24 at 07.27.28.jpeg
    89.3 KB · Views: 64
  • WhatsApp Image 2017-10-24 at 07.27.47.jpeg
    WhatsApp Image 2017-10-24 at 07.27.47.jpeg
    87.4 KB · Views: 76
sikushangai hujui ku-upload picha, akili ndogo kama bwana mkubwa wako, hivi kwa akili yako ya kuendea maliwatoni, biashara inatangazwa hivyo? You did not mention the brand of your bike, km covered
 
sikushangai hujui ku-upload picha, akili ndogo kama bwana mkubwa wako, hivi kwa akili yako ya kuendea maliwatoni, biashara inatangazwa hivyo? You did not mention the brand of your bike, km covered
Namshangaa mkuu hakuna brand wala tech.specifications
 
Watu hawabadiliki unauza kitu kitangaze kwa picha...nani akutafte WhatsApp?
 
Mimi mwenyewe nahitaji sana hiyo kitu lakini kwa tangazo lako nipagumu hapo
 
Back
Top Bottom