E emkey JF-Expert Member Joined Mar 15, 2011 Posts 728 Reaction score 137 Aug 12, 2014 #1 Ni used, inatembea, rangi nyekundu, being Hapo juu, haina kadi, imetumika miaka minne. 0714-408238. Nipo DSM.
Ni used, inatembea, rangi nyekundu, being Hapo juu, haina kadi, imetumika miaka minne. 0714-408238. Nipo DSM.
mandwa JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 1,506 Reaction score 376 Aug 12, 2014 #2 Weka picha Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Anko Sam JF-Expert Member Joined Jun 30, 2010 Posts 3,254 Reaction score 907 Aug 12, 2014 #3 Kwa bei hii ya laki 3.5, wengi wanatembea na pikipiki mifukoni. Simu inazidi pikipiki bei!
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,360 Reaction score 13,465 Aug 12, 2014 #4 Haina kadi?siyo ya wizi kweli hiyo?
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,452 Reaction score 10,059 Aug 12, 2014 #5 nitafutie boxer bm 150 kwa bei hiyo
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,667 Reaction score 11,760 Aug 12, 2014 #6 emkey said: .. haina kadi, imetumika miaka minne. 0714-408238. Nipo DSM. Click to expand... ??? Haina kadi? Hata nakala yake huna?
emkey said: .. haina kadi, imetumika miaka minne. 0714-408238. Nipo DSM. Click to expand... ??? Haina kadi? Hata nakala yake huna?
Tougher JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 245 Reaction score 65 Aug 12, 2014 #7 emkey said: Ni used, inatembea, rangi nyekundu, being Hapo juu, haina kadi, imetumika miaka minne. 0714-408238. Nipo DSM. Click to expand... Msala kama mwenye nayo kauawa si nitanunua murder case? Kama ujasiriamali ndio huu tutashindwa wengi
emkey said: Ni used, inatembea, rangi nyekundu, being Hapo juu, haina kadi, imetumika miaka minne. 0714-408238. Nipo DSM. Click to expand... Msala kama mwenye nayo kauawa si nitanunua murder case? Kama ujasiriamali ndio huu tutashindwa wengi