Beberu la mbegu
Member
- Mar 9, 2014
- 22
- 1
dah! Pole mkuu bahati labda cyo yako ila chombo ni kipya kabisa hakijatembea kabisaDaaaa ingekua dodoma ningechukua hiyo pikipiki
Poa mkuu haina shida kama akikosa mteja mwambie ailete dom ila kabla hajapakia anitumie piche ili tuelewane faster kwasababu nina mpango wa kununu pikipiki.
Pikipiki mpya kabisa aina ya boxer inauzwa 1,500,000/=
namba za usajil T 877 CRK
ipo arusha kwa anae hitaji awasiliane na mmiliki kupitia 0764876774
Pikipiki mpya kabisa aina ya boxer inauzwa 1,500,000/=
namba za usajil T 877 CRK
ipo arusha kwa anae hitaji awasiliane na mmiliki kupitia 0764876774
Mimi naitaka
Kama ninataka kuisafirisha Dar. Nitaisafirishaje?