Pikipiki mpya kabisa inauzwa!

Pikipiki mpya kabisa inauzwa!

Joined
Mar 9, 2014
Posts
22
Reaction score
1
Pikipiki mpya kabisa aina ya boxer inauzwa 1,500,000/=
namba za usajil T 877 CRK
ipo arusha kwa anae hitaji awasiliane na mmiliki kupitia 0764876774
 
Poa mkuu haina shida kama akikosa mteja mwambie ailete dom ila kabla hajapakia anitumie piche ili tuelewane faster kwasababu nina mpango wa kununu pikipiki.
 
Poa mkuu haina shida kama akikosa mteja mwambie ailete dom ila kabla hajapakia anitumie piche ili tuelewane faster kwasababu nina mpango wa kununu pikipiki.

poa mkuu kwan kusafirisha chombo kama pikipiki ni shingapi mpaka dom
 
Back
Top Bottom