INAUZWA Pikipiki mpya ya kazi unauzwa

Joined
Mar 15, 2019
Posts
64
Reaction score
178
Pikipiki ya kazi na ya uhakika kutoka KINGLION, hii inapita popote na inafanya kazi wakati wowote.



Model: 150-9AEngine Capacity: 150ccFuel consumption: 1L/55KM

Ukinunua unapata usajili bure, jacket, T-shirt na Helmet 2.
Piga simu au WhatsApp: 0683535699
 
Mbona "beyi kali" sana?Milioni tisa?Punguza kidogo mkuu.Fanya milioni arobaini.
 
Sijui kama unajua hilo jina lako na bandiko lako vina uhusiano wowote?
Sisi waafrika tunataka kujua ya bei ya bidhaa ndiyo muhimu kwetu wakati wewe unaipigia debe bidhaa bila ya kuweka bei. Ewe Mwafrika mmoja badilika bwana.
Kila bidhaa iliyoko sokoni lazima iwe na thamani yake, mkitangaza biashara muwe wazi kutaja bei ikiwa wewe ni mfanya biashara ama sivyo watu watachukulia kuwa ni bandiko la kuzinguana kwa utani tu.
 
Miafrika ndivyo tulivyo,
kwa hiyo yoteee umeeleza, bei umeona kama hustahili au unagawa bure?
Jifunzeni jamani this world era is explored mambo hayapo gizani kama zama na kale!
 
Hivi boxer ya 150 yenye gia 4 dashboard zinapatikana madukani au zinaingiliana na zile za gia 5?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…