Pikipiki mpya za Hello Hunter kwa wanaozijua

Pikipiki mpya za Hello Hunter kwa wanaozijua

scientificall

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
457
Reaction score
328
Kumekuwa na promo nyingi sana kuhusiana na kampumpuni ya hellow hunter juu ya uuzaji wa hizi pikipiki zao zenye muundo wa boxer.

Nina mpango wa kununua pikipiki mpya mwishoni mwa mwaka lakini roho yangu kwa mbali imependekeza labda ninunue hizi hello hunter kwa jili ya ubora na kubajeti mafuta.

Bado napata ukakasi wa nafsi hasa napenda kujua zaidi juu ya hizi pikpiki uzuri na ubaya wake ili nsije kuingia mkenge naombeni kujuzwa tafadhali
20220930_085908.jpg
 
Oyaaa hizi Hunter vipi naona zinakuja kwa kasi ya 5G, aliyewahi kuitumia atoe mrejesho maana nahaitaji nivute moja ya kutembelea
 
Back
Top Bottom