Pikipiki ndiyo chombo cha moto kinacho uza zaidi

Pikipiki ndiyo chombo cha moto kinacho uza zaidi

mtungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
270
Reaction score
435
Hali imebadilika ata ile mikoa uliyokua na avon phonex sehewa kama pale tanga mjini sasaivi hali imebadilika ni king haujue TVS huoniao fekon toyo sasaivi namba ni e muda si mlefu gali zinapitwa
 
hali imebadilika ata ile mikoa uliyokua na avon phonex sehewa kama pale tanga mjini sasaivi hali imebadilika ni king haujue tvs huoniao fekon toyo sasaivi namba ni E muda si mlefu gali zinapitwa
Mambo hubadilika yenyewe!Kama vile umri.
 
Na hizo pikipiki zenu mchinamchina
Zinaongoza kuua

Ova
 
Naona wamiliki wa tukutuku wameamua "kuvimba" na tukutuku zao😁
 
Yaas ni ka mzunguko fulani

Na vinasaidia kupunguza foleni sana
 
Kila siku lazima kiue au kuumiza watu.
 
Back
Top Bottom