Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru hiyo haitoshi...ongeza kidogo...Kamata 500k chap
Sio chini ya m 1,chini ya laki 5Humu ndani kuna baadhi ya members wenzetu wanafanya mchezo na pesa,yaani hiyo kitu ndiyo ya kuuza 1.5 million? Umefanikiwa kuuza ni chini ya million
NASHUKURU...HIYO HAITOSHI HATA KADI YA PIKIPIKI...JARIBU NYINGINE TAFADHALI...Mkuu nina 300k ipo mfuko wa shati hapa...
Una maana gani mkuu?Piki piki zote ni zinanza namba A
Duu hujui kwanza kuhusu namba wewePiki piki zote ni zinanza namba A
Hajui kuhusu namba huyu wakati asaiv piki piki zipo CT....Una maana gani mkuu?
Wakati MC sahivi zina CTD
Sawa katafute ya chini ya laki 5...nashukuru kwa maoni yako...jaribu kwengine tafadhali...Sio chini ya m 1,chini ya laki 5
UKIPATA YA LAKI 5 NUNUA TUMIA...HAKUNA ALIYEKUSHIKIA BUNDUKI...ILA HII YANGU...HIYO NDIO BEI YAKE...Hii labda laki 5 aisee...!! Yani kuiosha pikipiki imepanda thamani...
Mkuu nina 300k ipo mfuko wa shati hapa...
Laki 5 ni hela nzuri...ila haina maslahi...jaribu offer nyingine zaidi au jaribu kwengine kwa pesa hiyo...Ahsante..Laki 5 nipo mza nipe hiyo niwe Napatia matumizi ya nyumbani mkuu
ANAYEHITAJI PIKIPIKI KWELI ATAKUJA PM AU ATAPIGA NAMBA HIZO...
Hizo longolongo za wanaoshindana kujua namba za pikipiki si wanunuaji, nashauri wakasaidie trafic polis barabarani huko...hapa tunafanya biashara..
Njoo PM tujadili...Ukitaka laki 8 njoo uchukue
Ahsante jaribu nyingine...endelea kupanda...ukifika panaporidhisha nitakujibu...Mkuu nimeongeza dau chukua 325K .