INAUZWA Pikipiki, Toys na Baiskeli za Watoto zinauzwa

INAUZWA Pikipiki, Toys na Baiskeli za Watoto zinauzwa

Kwann uumizwe na anonymous character ambaye hamjawahi kuzungumza? Halafu I'm not teasing, nakutana tu na posts zako, you're funny
Hatujawahi kuzungumza ndo maana nataka tuzungumze . . . Imagine nakulilia kwenye majukwaa for weeks
 
Hatujawahi kuzungumza ndo maana nataka tuzungumze . . . Imagine nakulilia kwenye majukwaa for weeks
🤣 not weeks, just two. Inabidi uache, kweli tena. Me nikiwa tayari nitakufwata, inaweza ikawa mwaka ujao, so nisahau tu tafadhali
 
Honi inaliaje bila betri.. au ni kama zile za askirim?
Hii ni simple toy haitumii umeme wowote

Mtoto anapokaa anaweza kusukumwa miguu ikiwa ndani au unaweza kutoa floor board na mtoto akapitisha miguu na kujiendesha mwenyewe kama kwenye hiyo picha hapo chini
 
images%20(19).jpg
 
Back
Top Bottom