Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Hicho kiti kinasogea mbele? Naona kipo nyuma sana. Dah! Ila utoto raha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho kiti kinasogea mbele? Naona kipo nyuma sana. Dah! Ila utoto raha sana.
Hahahah inabidi tuifokoe iwekwe hata springi za kiti cha fonex ili wahuni tutesee kitaaHatuwezi kuifanyia modification, ikapokea uzito wa kilo 70+ nami niendeshe ferrari hata ya mchongo mwaisa.
Kabisa mwanangu, mradi tu tupande ferrari.Hahahah inabidi tuifokoe iwekwe hata springi za kiti cha fonex ili wahuni tutesee kitaa
Kiti hakisogei boss wangu kimewekwa kimahesabu kwa ajili ya watoto wa kuanzia miaka 2 ili waweze kukanyaga acceleratorHicho kiti kinasogea mbele? Naona kipo nyuma sana. Dah! Ila utoto raha sana.
ElectricPetrol au diesel?
Dah[emoji23][emoji23][emoji23]Dah nmekuja nduki nimeona laki 4 halafu nkajiwazia mimi ndio wa kwanza kuona post kwahyo chap nichangamkie mchongo kumbe ni ferari mwisho kilo 30kg. Ila co mbaya nna 50 ntaweka mguu mmoja nje na mkono wa kushoto naamini kilo 30 ntakuwa nmeshazipata nitime kitaa
Fanya kweli chalii avimbe kitaaUkweli mkuu nimefata huu uzi nikijua nakuja kukutana na halali yangu
kumbe ni halali ya chaliii angu asee,daah! sema Ferari ni Ferari tu baba
Ofisi yetu ipo Tabata madonna mkuu hapo magengeni unaposemea wewe ni sehemu nyingineNapajua
Tabata magengeni bisha
Sawa boss nikuletee au unakuja kuchukua120k