INAUZWA Pikipiki, Toys na Baiskeli za Watoto zinauzwa

Hii nikimchukulia mwanangu atachanganyikiwa. Tatizo ni fundi sana ntakuta kashaifumua ili aitengeneze .
Hiyo ni kawaida kwa watoto na ni Dalili ya afya njema

Ukiona mtoto sio mtundu ujue ana matatizo ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…