marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 987
Waambie kabisa kuwa huwezi kucontrol direction ( kulia,kushoto,mbele au nyuma) pia huwezi kucontrol altitude ukiipaisha itaenda ulekeo wa upepo,inapaa na kushuka yenyewe halafu inapaa tena unaweza kuizuia isipae tena kwa kutumia hiyo pad ukiipaisha kwenye eneo tulivu ndio maana kwenye box hapo wameandika indoors flight.
Ukiwaambia haya hawatashangaa hiyo bei ndio maana inauzwa bei rahisi.
Mimi ninayo na naongea kwa experience kama nimedanganya nikosoe.
Ukiwaambia haya hawatashangaa hiyo bei ndio maana inauzwa bei rahisi.
Mimi ninayo na naongea kwa experience kama nimedanganya nikosoe.