marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 987
Upo sahihiWaambie kabisa kuwa huwezi kucontrol direction ( kulia,kushoto,mbele au nyuma) pia huwezi kucontrol altitude ukiipaisha itaenda ulekeo wa upepo,inapaa na kushuka yenyewe halafu inapaa tena unaweza kuizuia isipae tena kwa kutumia hiyo pad ukiipaisha kwenye eneo tulivu ndio maana kwenye box hapo wameandika indoors flight.
Ukiwaambia haya hawatashangaa hiyo bei ndio maana inauzwa bei rahisi.
Mimi ninayo na naongea kwa experience kama nimedanganya nikosoe.
Inahitaji dereva ili kutembeaweka video ikiwa inatembea
I was just checking it out π€
Ni gari maana hata hizi za umeme hazina engine πππ sema hizo hazina AC tuHata hizi si ni gari mkuu au kisa hazina engine[emoji28][emoji28]
Pamoja sana mkuu[emoji28]Ni gari maana hata hizi za umeme hazina engine [emoji1][emoji1][emoji1] sema hizo hazina AC tu
Jeep ni Jeep tuUkimnunulia mtoto gari kama hii, kuna siku anaweza kukukejeli mzazi unatumia Corolla, halafu yeye anatumia jeep!!
ππππ Hata hela sina pia..Njoo kwangu mamaπ
National Anthem hata hakupwndi
Ngoja nimwambie National Anthem tuje wote for lunch πNjoo kwangu mamaπ
National Anthem hata hakupwndi