INAUZWA Pikipiki, Toys na Baiskeli za Watoto zinauzwa

INAUZWA Pikipiki, Toys na Baiskeli za Watoto zinauzwa

Off road beast
IMG_20220405_130033.jpg
 
Okay ila kwa ushauri mzazi akinunua hii anunue na baiskeli kwa mwanae ile sio tu kufurahia bali pia kufanya mazoezi...

Hii itatusaidia kama Taifa kuwa na vijana wakakamavu na sio madogo yenye vitambi (ukizingatia hata kwenda shule na popote pale ni kwenye gari)

Anyway samahani kama nimeleta siasa kwenye biashara yako
 
Okay ila kwa ushauri mzazi akinunua hii anunue na baikeli kwa mwanae ile sio tu kufurahia bali pia kufanya mazoezi...

Hii itatusaidia kama Taifa kuwa na vijana wakakamavu na sio madogo yenye vitambi (ukizingatia hata kwenda shule na popote pale ni kwenye gari)

Anyway samahani kama nimeleta siasa kwenye biashara yako
Haina shida na karibu sana
 
Aisehhhh kuna watoto ni tabu, anyway kuna swali je inatembea kwa umbali gani baada ya kuchaji ikajaa full
Hiyo gari inatumia 12v battery inayokaa na charge kwa 2hrs na average speed 6km/h
Umbali anafika 12km
 
Back
Top Bottom