Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
- Thread starter
-
- #121
miaka 25-30 si mtu mzima bossMkuu naweza kupata km hii lkn iwe ya mtoto mkubwa kuanzia miaka 25-30? Laki nne ipo mfuko wa shati
Asante
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Bila ya shaka unataka kujinunulia wew mkuu[emoji1787][emoji1787]Mkuu naweza kupata km hii lkn iwe ya mtoto mkubwa kuanzia miaka 25-30? Laki nne ipo mfuko wa shati
Asante
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
aitwe baba mwenye gari
Kabisa, na yeye avimbe kitaa anamilik ndingaaitwe baba mwenye gari
ujue hata na mm nakatamani sema tu ndio hivyo kilo zimezidi [emoji1787]
Mnunulie mtoto wako[emoji28]ujue hata na mm nakatamani sema tu ndio hivyo kilo zimezidi [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ujue hata na mm nakatamani sema tu ndio hivyo kilo zimezidi [emoji1787]
Ameweka na hata ulipoquote ipo.Weka vizuri Sasa hiyo Bei pale kwenye post ya kwanza. Specs ziambatane na Bei.
Shukrani
Haitumii mafuta inatumia battery ya kuchajifuel consumption ikoje
nimeelewa sasa inakaa mda gani au umbali gani inakua imeisha? gari inaweza kuhimili offroad?
Sawa boss
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu mbona unamchosha mfanya biashara?Mkuu naweza kupata km hii lkn iwe ya mtoto mkubwa kuanzia miaka 25-30? Laki nne ipo mfuko wa shati
Asante
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
SI nimeshakwambia nna wenge?? Napita wakati mgumu sana Hadi inaathiri utendaji wa kazi.Ameweka na hata ulipoquote ipo.
Sina kilo nyingi boss,nimeitamani sn hii Jeep nivimbe Nayo mtaanimiaka 25-30 si mtu mzima boss
Mkuu ukipata Jeep yenye kubeba uzito wa maximum 80 Kg tuwasiliane. Naona bei yako ni tofauti kabisa na ile ya akina Kwadilo.Off road beastView attachment 2176572