Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
- Thread starter
-
- #141
12v battery inaenda 12km with a speed of 6km/h on averagenimeelewa sasa inakaa mda gani au umbali gani inakua imeisha? gari inaweza kuhimili offroad?
Sawa bossMkuu ukipata Jeep yenye kubeba uzito wa maximum 80 Kg tuwasiliane. Naona bei yako ni tofauti kabisa na ile ya akina Kwadilo.
Kuhusu speed itafahamika huko huko. Bei ikifika hata laki 8 nitanunua tu.
Ichukue tu utaisukuma[emoji28][emoji28]Sina kilo nyingi boss,nimeitamani sn hii Jeep nivimbe Nayo mtaani
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu mbona unamchosha mfanya biashara?
Wacha bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]SI nimeshamwambia nna wenge?? Napita wakati mgumu sana Hadi inaathiri utendaji wa kazi.
ah ah ah ah ahMkuu naweza kupata km hii lkn iwe ya mtoto mkubwa kuanzia miaka 25-30? Laki nne ipo mfuko wa shati
Asante
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app