Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elfu 45 tu mkuuKiingereza bila pesa ni sawa na kupiga kelele, tangazo bila bei ni sawa na kuturingishia
Bei yake ni 45,000/= tuLaki 6 Kwa helicopter hiyo? Mbona bei juu?
Muda wa matumizi ni dakika 30 ikiwa fully chargedUNAUWEZO WA KWENDA UMBALI GANI NA INAKAA ANGANI KWA MUDA GANI
Helicopter inakua controlled kwa infrared sensor hand inductionUnaicontrol kwa kutumia kitu gani sasa??
Hapana hayana madhara maana yanaweza kugeuzwa kirahisi pindi helicopter inapokuwa on na off kwa ajili ya usalamaSasa hayo mapanga yanapozunguka si yanaweza kumdhuru mtoto!
Picha zina shida gani? Maana unachokiona kwenye picha ndo anachopewa mteja kama hatoridhishwa anaweza kuacha mkuujifunze kuweka picha halisi, siyo za gugo