devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 268
- 370
Wakuu naomba msaada je tatizo ni nn ...je linatibika kwa pikipiki aina ya boxa 150 Gia 4
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwa fundi aliyekaribu nawe mwenye ujuzi mzuri.wakuu naomba msaada je tatizo ni nn ...je linatibika kwa pikipiki aina ya boxa 150 Gia 4
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Kuliko kuchonga ni afadhali anunue engine nyingineKwa uelewa wangu, kutoa moshi mwingi inaonesha kuwa haichomi mafuta vizuri na kunauwezekano piston ringi imechoka/imekatika. Kama haina shida ya kuwaka ina maana Plug ni nzuri hivyo,
Tafuta fundi Mzuri wa Engine afungue na ubadilishe piston Ring na Kama Ile block imeharibiwa na piston ringi inaweza kuhitaji kuchongwa. Piston Ring ni kama bangili tu, hivyo kama itakuwa ni hiyo ni bei poa
Angalizo: Kabla ya kufungua uliza Piston Ring za boxer kama zinapatikana eneo lako kwa kuwa vifaa vya boxer saa nyingine vipo maduka machache
Subiri na Ushauri wa Wengine au Jaribu kupata muongozo kwa fundi mzoefu pia
Engine sh ngapKuliko kuchonga ni afadhali anunue engine nyingine
Anunue injini au ring za piston?Mi naona anunue piston kit kwa ujumla,kama block nayo imeathirika,anunue block mpya pia,siyo injini.Kuliko kuchonga ni afadhali anunue engine nyingine
Matako hua yanasingiziwa tu,yenyewe hua yanatumika Kama spika tu.Napendekeza kuwe na operation maalumu ya kukamata hizi pikpik zinAzotoa Moshi ovyo zinatuumiza Sana sisi wenye magari na kuharibu filters.
Kweli, RR lazima iumie...Napendekeza kuwe na operation maalumu ya kukamata hizi pikpik zinAzotoa Moshi ovyo zinatuumiza Sana sisi wenye magari na kuharibu filters.
SawaUkifanikisha kutibu tatizo ujitahidi kumwaga/kubadili oil kwa wakati
Inategemea na eneo ulipo, we uko wapi?
Mil 1.4
haizidi laki na nusu.