Pikipiki ya boxer inatoa moshi mwingi

Pikipiki ya boxer inatoa moshi mwingi

Kwa uelewa wangu, kutoa moshi mwingi inaonesha kuwa haichomi mafuta vizuri na kunauwezekano piston ringi imechoka/imekatika. Kama haina shida ya kuwaka ina maana Plug ni nzuri hivyo,
Tafuta fundi Mzuri wa Engine afungue na ubadilishe piston Ring na Kama Ile block imeharibiwa na piston ringi inaweza kuhitaji kuchongwa. Piston Ring ni kama bangili tu, hivyo kama itakuwa ni hiyo ni bei poa
Angalizo: Kabla ya kufungua uliza Piston Ring za boxer kama zinapatikana eneo lako kwa kuwa vifaa vya boxer saa nyingine vipo maduka machache
Subiri na Ushauri wa Wengine au Jaribu kupata muongozo kwa fundi mzoefu pia
 
Kuliko kuchonga ni afadhali anunue engine nyingine
 
Ri

Anunue injini au ring za piston?Mi naona anunue piston kit kwa ujumla,kama block nayo imeathirika,anunue block mpya pia,siyo injini.
 
Ukifanikisha kutibu tatizo ujitahidi kumwaga/kubadili oil kwa wakati
 
Aseee hizi boxer ni very sensitive mtoa uzi huwa una tendencies ya kutomwaga oil kwa wakat boxer haitak mambo hayoo itakusumbua had uichukie ..mwaga oil na tumia oil zuri eg mogas 20w au total 20w high mileage. Ustumie oil za sanlg and likes kwenye boxer inakufa mapema..kuhusu tatzo linatibika usibadil ringi tu badili napiston og bei haizid 40k TSH.
 
Back
Top Bottom