Pikipiki ya hesabu Dodoma mjini

Pikipiki ya hesabu Dodoma mjini

Dr.philosophy

Senior Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
122
Reaction score
27
Ndugu zangu,Mimi Ni kijana natafuta pikipiki ya hesabu ambapo nitakuwa naitumia kufanyia biashara ya boda boda na kumlipa mwenye Mali kutokana na makubaliano ya kiasi tutakachokubaliana...naomba ndugu zangu nisaidiwe kwa Hilo nitafanya kazi kwa uaminifu mkubwa mnoo na nitahakikisha naleta hesabu Kama tutakavyokuwa tumekubaliana..napatikana Dodoma mjini..
Kwa yeyote atakayehitaji kuwasiliana na Mimi namba zangu hizi 0672324570 au 0692694522
Natanguliza shukran🙏🙏
 
Nikiwaza watu kama nyie weny usongo na maisha mnakosa chance mpaka mnakuja kuomba roho inaniuma sna

Kuna madogo wawili siku za nyuma niliwapa pikipiki za mkataba walicho nifanya sina hamu (mpaka nikaapa siwezi tena kumpa mtu pikipiki ya mkataba bora niendeshe mwenyewe tu)

But best of luck
 
Hahaa shida ya vijana atakuwa na usongo siku 2 tu akishapata hela ya kutumia 50 au laki basi stori zinaanza anasahau shida zake mnaanza kugombana.
Haya huyu asikupe gurantee kwamba atakuwa kijana mzuri wa kuleta hesabu wote huanza hivi hivi.
Ila mkuu kama unayo msaidie
 
Nikiwaza watu kama nyie weny usongo na maisha mnakosa chance mpaka mnakuja kuomba roho inaniuma sna

Kuna madogo wawili siku za nyuma niliwapa pikipiki za mkataba walicho nifanya sina hamu (mpaka nikaapa siwezi tena kumpa mtu pikipiki ya mkataba bora niendeshe mwenyewe tu)

But best of luck
Broo Mimi nahitaji kwakwel na Kama unaweza tu kunisaidoa nisaidie na mm nijikwamue mkuu...hakika hutajutia kunipa Mali yako
 
Back
Top Bottom